Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!

Retired, jitahidi kubadilika ujibu hoja kama mtu mzima, mwenye weredi na umakini. Unadai wanachama wa chama hicho ndio waliosaini mikataba ya wizi!!! Una uthibitisho huo, au umeandika tu kutoka ndotoni!

Kwamba watumishi wote ni wanachama cha hicho chama, au ni sera ya hicho chama! Du! Usijifanye hamnazo!
 
Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Jibu hoja iliyoletwa ukumbuni usijitoe akili. Pili Lowasa unayebusu miguu yake yumo katika list ya ccm kuiba hivyo huna point. UKAWA walishapoteza moral authority ya kuisema ccm juu ya wizi na ufisadi tangu July 2015 walipowapokea Lowasa na Sumaye
 
...................
Hata wewe mkuu, kama nikija nyumbani kwako na kuanza kuponda kila ulichonacho kuanzia viti, baskeli yako, rangi uliopaka, n.k., unafikiri utanisikiliza ushauri wangu wa nini cha kufanya kuboresha maandhari yako?...........

Mkuu kumbuka Rais ni mwajiriwa kwa hiyo anawajibika kwa mwajiri wake. Hivyo ni tofauti na ulichoaandika hapa juu.
 
ILANI YA CCM NDIYO ILIYOTUMIKA, SIYO YA LOWASA WALA SUMAYE. MUONGOZO UNATOLEWA NA CHAMA UNAENDA KWA WATENDAJI WAKE.
Tupu nukuu moja tu kutoka Ilani hiyo ya CCM kuthibitisha madai yenu.

Unarukia hoja tofauti ili kukwepa ukweli kwamba upinzani walichoshabikia Kenya, kwa kuwa tu Lowassa alikwenda kupigia debe Uhuru, ni tofauti na yanayotokea sasa. Kwamba Uhuru si mwanademokrasia kama upinzani ulivyotaka Watanzania waamini.

Kama viongozi wa upinzani walivyo hapa Tanzania kuwa ni vigeugeu, Uhuru amethibitisha tabia yao hiyo.
 
Retired, jitahidi kubadilika ujibu hoja kama mtu mzima, mwenye weredi na umakini. Unadai wanachama wa chama hicho ndio waliosaini mikataba ya wizi!!! Una uthibitisho huo, au umeandika tu kutoka ndotoni!

Kwamba watumishi wote ni wanachama cha hicho chama, au ni sera ya hicho chama! Du! Usijifanye hamnazo!
Muulize Lowasa na Sumaye ni wa chama gani?
 
Mkuu kumbuka Rais ni mwajiriwa kwa hiyo anawajibika kwa mwajiri wake. Hivyo ni tofauti na ulichoaandika hapa juu.
Upinzani umeshindwa uchaguzi. CCM wameunda serikali yao na wanaongoza nchi kufuatia sera zao zilizowapa ushindi.

Bado upinzani wanataka serikali ifuate wakitakacho wao - hii ndio demokrasia mnayoitaka?

Kuna haja gani ya kuwa na uchaguzi na kuna faida gani ya kushinda uchaguzi kama alieshindwa ndie anaetaka asikilizwe kwa kila kitu. Ebo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikiwa kinyume nawe tayari unaniita mpinzani? Nchi hii alio kwenye vyama hawafiki hata milioni 10. Hivyo unapotoa hoja ondoa fikra kuwa kila mtu hapa jukwaani ni mwanachama wa CDM au CCM, tupo pia tusio na vyama na tuna haki ya kuchangia. Nchi ni yetu sote hii.
 
Ni wanachama wa chama gani walisaini mikataba ya wizi ? nani anavunja mikataba na kuifanya nchi ilipe fedha nyingi? Jibu hayo maswali, utajitafakari upya maandishi yako!
Nyie mkibanwa huwa hamna jipya zaidi ya kurudiarudia hivyo viswali vya kipuuzi, we hujui kiranja aliyeongoza kusaini mikataba ya wizi ndio kanunua chama chenu, na mwenzake mwenye mahekari asiyoyalima wote wamehamia kwenu na mmewasafisha kweli kweli! Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.
 
ILANI YA CCM NDIYO ILIYOTUMIKA, SIYO YA LOWASA WALA SUMAYE. MUONGOZO UNATOLEWA NA CHAMA UNAENDA KWA WATENDAJI WAKE.
We punguani kweli! Yaani mtu akiwa chadema akapanga kuiba basi atakuwa ametumia ilani ya chadema?!!
 
Hii post braza umegonga watu kwenye nyonga..wao wanadhani demokrasia rahisi kiivyo wakati wenyewe kwenye chama tu imewashinda..halafu wanataka wenzao wa practice ili iwe njia nyepesi kwao..tutangoja kwanza iingie kwenye chama chao kisha tutaiga wanavyoitendea haki hiyo demokrasia..
Lisu kimyaa.
 
Mkuu nikiwa kinyume nawe tayari unaniita mpinzani? Nchi hii alio kwenye vyama hawafiki hata milioni 10. Hivyo unapotoa hoja ondoa fikra kuwa kila mtu hapa jukwaani ni mwanachama wa CDM au CCM, tupo pia tusio na vyama na tuna haki ya kuchangia. Nchi ni yetu sote hii.
Well, hata mimi sina chama.

Wewe unachosema ni kuwa kwa kila analokosolewa basi Rais alifuate kwa kuwa mkosoaji ndio mwajiri wa Rais. Wakosoaji wengi ni wapinzani. Ukosoajo wao unaonekana dhahiri kuwa ni wa kumuwekea mikwara Rais ili asitekeleze wakibu wake.

Hilo ndilo ninalolipinga na wananiita CCM. Go figure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hii ndio sababu ya kumuita Uhuru "Baba wa demokrasia"?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna nadhani sababu ya kumuita ni kwasabab pamoja na kusikitishwa na anri ya majaji ila kaheshimu maamuz yao atakama angetusi namna gani ila kukubali tu kaonesha mfano mkubwa sanaa,....maan nchi yetu hao wangepimwa mkojo kabisa kama sio kutekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom