Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una point. Sema wale wanazi wa yanga watakujibu kipuuzi.Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Young Africans ilizaa neno Yanga kutokana na kukosewa na wazawa hatimaye jina Yanga likazaliwa.Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Yanga daima mbele nyuma mwikoYanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Nami nikuulize hivi Barcelona ni sawa na Barca?Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Barca sio jina rasmi tofauti na Yanga
Mifano yako kama barca, the blues, the gunners haifani na Yanga kwa Young, ni heri wangeita greens, yellows, au vijana. Maana Yanga sio sio kifupi cha Young na wala sio Vijana. Yanga ni jina ambalo halina maana yoyote. The blues kwakuwa jezi yao ni Rangi ya blue, the gunners wanatunza ghala la silaha, Barca ni kifupi cha Barcelona, Yanga ni nini?Dar Young Africans ndiyo jina rasmi sio hili la Yanga. Ni sawa na the Blues, the Gunners, the Reds, Cosmo kwa iliyokuwa Cosmospolitans. Ilianza kwa sababu wapenzi hawakuweza kutamka kwa ufasaha Young Africans wakawa wanasema Yanga Afrika. Umekataa Barca kwa Barcelona bure tu. Hata simba ilipokuwa Sunderland tuliita "Sanda." Vitabu vya hiyo Yanga yako hata Klabuni ubao sharti uandikwe Dar Young Africans. Zamani akina Mshindo Mkeyenge, Abdul Masoud walikuwa wakitangaza mpira Yanga walikuwa wakiita Dar Younng Africans. "Wasikilizaji mpira unapigwa kuelekea goli la Dar Young Africans!!!" Muulize mwanachama wa "Yanga" yoyote kwa msaijli jina gani limeandikwa. Kama ni Yanga basi wamebadili majuzi tu.
Mifano yako kama barca, the blues, the gunners haifani na Yanga kwa Young, ni heri wangeita greens, yellows, au vijana. Maana Yanga sio sio kifupi cha Young na wala sio Vijana. Yanga ni jina ambalo halina maana yoyote. The blues kwakuwa jezi yao ni Rangi ya blue, the gunners wanatunza ghala la silaha, Barca ni kifupi cha Barcelona, Yanga ni nini?
Ni sawa na lile soko la marikiti Zanzibar,wenyeji walishindwa kutamka market wakawa wanaita marikiti ndio mpaka leo ikawa ni soko la marikiti.!! Yanga ni matamshi ya kuitaja Young ndio ikazaa jina Yanga.
Nisawa na jina KARIAKOO lilipatikana kwa wenyeji kutamka CARRIER CORPS,ndio ikawa Kariakoo mpaka leo,sasa mleta mada iko siku atauliza nini maana ya Kariakoo?!Sawa kabisa. Ndiyo maana kuna mapinduzi makubwa sana ulimwenguni ya kitamaduni kurejea asili. Toka Burma hadi Myanmar, toka Peking hadi Beijing, Toka Bombay hadi Mumbai. Yanga sasa limekuwa Jina linalokubalika hata wakiamua kufuta Dar Young Africans wakaandika Yanga kwa Msajili rukhsa. Akiambiwa Cosmospolitans walijulikana kama Cosmo zamani atabisha tu.