Hivi "Young" ni sawa na "Yanga"?

Localization of foreign item, good etc.
Precious usukumani anaitwa Puure
Jordan kigoma anaitwa Jooro
Robert ngara anaitwa Rubereti
Dar es salam umasaini inatamkwa sardalama nk
 
Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?

Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
asili ya jina KARIAKOO NI CARRIER CARGO......... babu zetu waswahili walishindwa kulitamka hilo likashamiri KARIAKOO, sawa na hiyo niYOUNG ni neno la kigeni WASWAHILI BABU ZETU WAKALITAMKA YANGA......
 
Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?

Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Katika Lugha, kuna kitu kinaitwa nativism, yaani neno linachukuliwa kutoka kwenye lugha X kwenda kwenye lugha Y bila kubadilika matamshi yake, isipokuwa mofolojia yake tu hubadilishwa kidogo kuendana na asili ya lugha Y. Kwa mfano. Neno 'Kariakoo', lilichukuliwa kutoka Kingereza 'Carrier Corps'. Kwa nini haikuitwa wapagazi?

Sababu za nativism ni pengine lugha chansi kukosa neno lenye tafsiri sawa kwa wakati huo, ama kutaka kutajirisha lugha chansi.
 
Back
Top Bottom