Hivi Yanga bado mna ndoto za ubingwa?

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
18,511
68,141
Watani zangu nawashauri mechi za ligi zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kupunguza vitambi vya hiyo mihogo mnayolishwa kambini.

Halafu ligi ikiisha mtukumbushe tuwagawie magoli kidogo.
FB_IMG_16184204600509616.jpg
 
Uto wabahitaji neema ya Mungu kujitafakari na kujipanga kwa next season.
 
Mechi tatu mkononi apo,kwa Simba hii izo ni points tisa uhakika piga uwa.
Na jirani Bundi akikomaa kuwashonea sare ama kupigwa basi ubingwa mapema tu,points 60 zinatosha kabisa kubeba ndoo.
 
Timu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"
 
Back
Top Bottom