Hivi Wizara ya kilimo na chakula ina mpango wa kufika hapa lini?

Jamco_Za

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,330
195
Kilimo kinaingia katika nyanja ya sayansi na anga za juu, wakati tanzania bado tunaendelea kutumia jembe la mkono. Hivi inawezekana mkulima wa ngano kule arusha kushindana na mkulima wa ngano wa Ufaransa kama kuna gap kubwa la maendeleo namna hii.

Serikali yetu na wahindi wao wanaojifanya wawekezaji nchini kwanini hamuwekezi kwenye kilimo cha namna hii mkalisaidia taifa kuingiza pesa za kigeni badala ya kuiba chache ambazo zimetokana na damu ya watanzania ilivuja kama jasho wakati wa kulima.

Hivi kuna siku tanzania chini ya viongozi tuionao tutafika kuwa na maendeleo ya aina hii ya kutumia utaalamu mkubwa namna hii katika kilimo.

Angalia hii
http://http://www.bbc.co.uk/britainfromabove/stories/space/farmstar.shtml[/URL]
 
Back
Top Bottom