Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wiki ya nenda kwa usalama barabarani ni mradi au huduma kw jamii??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hhm, Oct 5, 2011.

 1. H

  Hhm Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari wana jf. Mimi nashindwa kuelewa hii kitu wiki nenda mea usalama ni mradi wa serikali au? Na kama ni mradi hizo pesa zinakwenda wapi? Na kwanini isibadilishwe jina outset ni kodi Flani ya barabarani...nasema hivi kwakuwa mimi mea ifahamu wangu nilijuwa kuwa swala la wiki nenda kwa usalama ni program ya Kila mwaka ya ukaguzi wa magari yanayotumika barabarani kuhakiki ubora na unalopewa stika maana yake ni kuwa gari lako limekaguliwa na kupitishwa kuwa Lima ubora unaokubalika kisheria....sasa hili linaliendelea sijui kama ni lengo la jeshi la polisi au ni nini.... Ishoka hupita katika maofisi mbalimbali makukusanya namba.zao magari huku wakichangisha 20,000 eti stika ya wiki.na fire extinguisher.
   
 2. regam

  regam JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kwa kujazia budget deficit iliyosababishwa na kutumia mabilioni igunga
   
Loading...