Hivi what does it take kuwa Tanzania one? (mwanafunzi bora kitaifa)

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,629
Hello,

I think kuongoza nchi nzima au kuwa top ten kwenye necta sio swala LA mchezo.

Hawa ma T.O wanatumia mbinu gani za kusoma? Lyk wanasoma sana au wanakariri abott yote or...

Mwenye uzoefu na hawa watu atujulishe
 
wapo wanaoshinda na kukesha kwenye kitabu ila hawawezi kuwa T.O. kuwa T.O. vitu vutatu vyote kwa pamja au kimojawapo vinahusika; uwezo kiakili, juhudi binafsi za kusoma, Kusaidiwa/kuvujishiwa + uwezo binafsi
 
Back
Top Bottom