Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
331
1,000
Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani ghafla tu.

1623932582972.png

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,403
2,000
wadau wenye elimu kidogo Ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani Mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani ghafla tu
Ubahili ni kipaji ...

Kama huna basi endelea kuspend, lakin uwe unajuaa kuzitafuta
 
ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
331
1,000
Ubahili ni kipaji ...

Kama huna basi endelea kuspend ,lakin uwe unajuaa kuzitafuta
Kwakweli yaaani kuna mtu unakuta mnalipwa sawa wewe ata kiwanja hauna nenda kwake sasa unakuta kashajenga upande bado upande nyumba iishe na wote kazi moja mshahara mmoja kima cha chini
 
Copa Cabana

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
1,024
2,000
Maamuzi kupangilia mipango na kubadili mipango mibovu, kukupa kitu kitakukeep busy pindi upatapo usitumie simple like that!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
183,527
2,000
wadau wenye elimu kidogo Ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani Mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani ghafla tu
Tafuta kitabu kinaitwa maisha na malengo..bila malengo hata upate milion utaipiga chini yote
BTW je unatoa sadaka kweli? Au zaka? Usipofanya hivyo pesa yoyote utakayopata itapata dharura.. Yaani pesa yako inakuwa inaingia kwenye mikono iliyotoboka
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
46,915
2,000
wadau wenye elimu kidogo Ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani Mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani ghafla tu
Kuna mawili
1.Uwe bahili
2.Tengeneza pesa kuliko unavyotumia
 
Tui

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,281
2,000
Jaribu ku balance matumizi yako yasizidi mapato.

Andika budget ya matumizi na mapato kila mwezi na jaribu kuepuka anasa ikiwa kipato hakiruhusu.
Kwenye budget andika matumizi ya lazima kama makazi chakula,ada,hospitali,mavazj,simu na dharura.
Piga hesabu kutokana na kipato chako na matumizi yako.

Kama umeoa jaribu kufanya budget ya familia nzima.Kama mke ana kazi itasaidia sana kama hana fungueni mradi.Ukifanikiwa weka akiba.

Vipato viwili mara zote ni bora kuliko kipato kimoja.

Kila la kheri.
 
Giancarlo

JF-Expert Member
May 15, 2018
872
1,000
Kama huwezi kusave,tafuta mchezo wenye watu waaminifu na unaowafahamu,e.g labda kwa siku 5k...na uwe unachukua jina la mwisho halafu ukishaipata hyo hela unapeleka benk yaan siku hyo hyo ukiipata tu hakuna kupita popote nenda moja kwa moja benk kahifadhi! Hapo utafanikiwa kusave.
 
captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
552
1,000
wadau wenye elimu kidogo Ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani Mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani ghafla tu
Hahah! Mpe mama/baba mkwe akutunzie
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,696
2,000
Unashindwaje....
Akili ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira alipo
Nkupe mfano kidogo

Ukiwa upo maeneo ya mjini mfano miomboni kwa iringa
Unafanya shopping zako unaweza kuhisi kwenda haja
Ila kwakua upo mazingira ambayo sio rafiki kwa kujisaidia unaweza kujibana na ukamaliza shopping zako

Utakapoanza kurudi ndipo na haja inavyokaza kuuma
Na pindi unapofika nyumbani....ikiwa utajiuliza uanze kwa kuweka vitu vyako store au uende kwanza toilet basi amini kua lazima ukashushe haja kwanza!

Hi inamaana kua either malafiki zako au life style yako
Au hauna utegemezi wa makuzi yako yakimaendelea
Au pia hauna mzigo mkubwa unaokutazama
Ikiwa hivyo basi Hongera sana

Ila tatizo linaanza kama una familia inakutazama
Ikumbukwe muda unazidi kwenda
Umri wako unasogea

Kuna wakati unafikia inabidi uwe umefanya baadhi ya mambo....
Maisha haya hakuna kitu kizuri kama kua na Budget
Kwa mfano mim kwa siku nnatumia 5000

Ikiwa ntahitaji kula...viucher na dawa za mswaki,soda soda zooote zinatoka ndani ya hiyo 5000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom