Hivi we nani hadi uwe wa kwanza kwa uliye naye!!!!!!!

na kwa upande wa wanaume vp?
wao waaminifu wana mpz mmoja ..so inabd wanawake wasiwe na hofu?
uchambuzio wako mzuri lakin ni uchambuzi kilema cz umelenga jinsia moja tu wakat subject husika inacut across adamu na eva
nawasilisha.

No no, of coz hata kwa wanaume. Ila ushauri niliulekeza zaidi wka wanaume ambao ndio nimeona malalamiko yao mengi humu...
 
mkuu naona nia yako siyo kuelimisha bali ni kupotosha jamii kwa kuhimiza tabia chafu ambayo mwisho wake ni maangamizi ama ya magonjwa au kujiangamiza/kuangamizana (kujiua/kuua kwa wivu wa mapenzi). ukweli ni kwamba unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya (me/ke) lazima uwe tayari kuvua penzi la zamani ili uwe salama (mfno, unanunua kiatu kipya unakivalisha juu ya kile cha zamani- utaweza kutembea kweli??? ukiweza basi ni kwa taabu sana!) kwanini ujipe taabu sana! there is a wide ground for making choice, pekua mpaka ujiridhishe/mjiridhishe then mnatulizana! mengine hayo ni kudanganya nafsi tu!:ballchain:

What you are saying is the IDEAL condition. However it is not the REAL condition
 
Back
Top Bottom