Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 998
- 34
Swadakta..
Wale mademu wakihispania bado wapo mkuu, njoo tukakate watoto, weekend ndiyo hiyo.
Pande za wapi hii midude inapatikana wadau?
Swadakta..
Wale mademu wakihispania bado wapo mkuu, njoo tukakate watoto, weekend ndiyo hiyo.
.........Afadhali tumewaomba za barabara, kinachonisikitisha hata za kujenga vyoo tunawaomba! inasikitisha sana na ni aibu!miafrika siyo mibunifu all the time copying from wazugu kwa hiyo wazugu anasikia proud unless we change our altitudes tunaendelea tu kuomba hela za ujenzi wa barabara zetu.
Jana NASA (iliyoanzishwa na iko dominated na mizungu) wameutwanga mabomu mwezi katika jitihada kutafuta dalili za maji na hatimaye uhai. Mnaona mizungu ilivyo na akili?
Liafrika gani lingeweza kutengeneza miroketi itakayopiga mwezi (moon).
Mizungu deep down inatudharau sana sisi na ina haki ya kutudharau. Kamwe mtu aliyekuchukua utumwa na aliyekutawala hawezi kukuheshimu. Heshima inakuwa "earned".
Namsubiri Raj aje hapa maana hapatakalika. Na kwa upande mkubwa jamaa ana hoja kali kiasi kwamba kwenda naye toe to toe watu huwa hatuwezi na hatimaye huishia kumrushia matusi. Kuna siku moja aliwahi kuuliza kati ya binadamu na punda nani mwenye akili na nani anamwongoza mwenzake. Jibu lake ni wazi kuwa binadamu tuna akili zaidi ya punda. Hivyo basi hata katika binadamu wale wenye akili zaidi daima siku zote watawaongoza wale wasio na akili. Sasa linganisha kati ya mzungu na mwafrika nani anamwongoza nani?
Jana NASA (iliyoanzishwa na iko dominated na mizungu) wameutwanga mabomu mwezi katika jitihada kutafuta dalili za maji na hatimaye uhai. Mnaona mizungu ilivyo na akili?
Liafrika gani lingeweza kutengeneza miroketi itakayopiga mwezi (moon).
Katika tafakuri zangu za kujiandaa kurudi kubeba maboksi kwa wazungu nimejikuta tena nikiitafakari nadharia tata ya 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'. Ila leo nimeiangalia kwenye upande wa pili wa thumni. Hivi hawa wazungu ambao mwananadharia wa 'Miafrika Ndivyo Ilivyo' anadai wamependelewa na Mungu kuwa na vichwa vya kuvumbua sana wao huwa wanajisikiaje?
Kwa mfano, yanapotamkwa majina ya Galileo Galilei, Isaac Newton, Abraham Lincoln, Marie Curie, William Shakespear, Albert Einstein, Bill Gates na wazungu wengineo je mzungu anajisikiaje? Je, anajisikia kuwa hayo ni mafanikio ya Kizungu tu? Au anakubaliana na Frantz Fanon kuwa mafanikio hayo ni ya watu wote duniani ikiwamo Miafrika/Mitanzania?
Kama kuna mzungu humu ndani au mtu anayewaelewa vizuri wazungu basi naomba anisaidie kuelewa hili suala maana nadhani lina jibu la matatizo yetu Miafrika. Ningependa kujua mtu kama Jim Sinclair anajisikiaje hasa anapotoa yale matangazo yake kuhusu jinsi wanavyochota madini ya Mitanzania. Je, na yeye anajisikia kama yule Paul Mooney wa Makuadi wa Soko Huria? Kwa ujumla, je, wanajisikiaje kuhusu 'Miafrika ndivyo Ilivyo'?
Hapana, unless kama unamaanisha African-African. Ila African-Americans have played a major role in the fields of astronomy and space, and have much to be proud of. Kwa mfano, nani ali'Chair' Challenger disaster commission kama siyo Dr. Cuthbert Walker II? Frederick Gregory hakuwahi ku'pilot spacescraft? List ya famed African -Americans NASA Astronomers/engineers ni ndefu mno, na hata kwenye hiyo mission ya kubomu mwezi wameshiriki kibao. .. Tusipindishe historia ya NASA/ukweli.
.........from one being in love.....to a suicide mission/watch.....no wonder......Miafrika Ndivyo Tulivyo.......lol
Kulalamika peke yake haitoshi. Naomba kusikia ufumbuzi basi. Tufanye nini tujikwamue? Ni minyororo gani imetuzingira? Maana kulalamika (blaming) pekee si chanzo cha uvumbuzi. Naomba kusikia kutoka kwenuYaani unakubaliana na msemo huu wa Leopold Senghor kuhusu tofauti ya Waafrika na Wazungu: "Emotion is Negro - Reason is Greek"?
Wapi tunalalamika? Unataka kupewa ufumbuzi? Hilo ndio tatizo lenyewe tunalojaribu kulitafutia ufumbuzi hapa - tatizo la kutaka kupewa ufumbuzi!Kulalamika peke yake haitoshi. Naomba kusikia ufumbuzi basi. Tufanye nini tujikwamue? Ni minyororo gani imetuzingira? Maana kulalamika (blaming) pekee si chanzo cha uvumbuzi. Naomba kusikia kutoka kwenu
Katika tafakuri zangu za kujiandaa kurudi kubeba maboksi kwa wazungu nimejikuta tena nikiitafakari nadharia tata ya 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'. Ila leo nimeiangalia kwenye upande wa pili wa thumni. Hivi hawa wazungu ambao mwananadharia wa 'Miafrika Ndivyo Ilivyo' anadai wamependelewa na Mungu kuwa na vichwa vya kuvumbua sana wao huwa wanajisikiaje?
Kwa mfano, yanapotamkwa majina ya Galileo Galilei, Isaac Newton, Abraham Lincoln, Marie Curie, William Shakespear, Albert Einstein, Bill Gates na wazungu wengineo je mzungu anajisikiaje? Je, anajisikia kuwa hayo ni mafanikio ya Kizungu tu? Au anakubaliana na Frantz Fanon kuwa mafanikio hayo ni ya watu wote duniani ikiwamo Miafrika/Mitanzania?
Kama kuna mzungu humu ndani au mtu anayewaelewa vizuri wazungu basi naomba anisaidie kuelewa hili suala maana nadhani lina jibu la matatizo yetu Miafrika. Ningependa kujua mtu kama Jim Sinclair anajisikiaje hasa anapotoa yale matangazo yake kuhusu jinsi wanavyochota madini ya Mitanzania. Je, na yeye anajisikia kama yule Paul Mooney wa Makuadi wa Soko Huria? Kwa ujumla, je, wanajisikiaje kuhusu 'Miafrika ndivyo Ilivyo'?
Afrika ina wazungu pia, na uzunguni kuna Waafrika, wengine viongozi kama Obama. Je Obama ubongo wake una tofauti gani na ubongo wa Waafrika wengine? Hakuna haja ya kukata tamaa.
Mkandara asante kwa kumpa shule Julius. Tofauti kati ya Wazungu na Waafrika sio nasaba. Hata wanasayansi/wataalamu wa vinasaba wanasema kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Wazungu wenyewe kuliko tofauti yao na Waafrika na hivyo hivyo kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Waafrika wenyewe kuliko tofauti yao na Wazungu.
Obama ni nusu mzungu nusu mwafrika. Nadhani hapa tunazungumzia full bantus kama kina Mugabe....