Hivi Waziri Ummy hawezi kushtakiwa?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Wanasheria nataka tuangalie uwezekano wa Waziri wa Afya kushitakiwa kwa uzembe wake na kushindwa kuwajibika kwa Watanzania.

Najuwa bosi wake anayo Kinga Kikatiba ila yeye hana kinga hivi hakuna uwezekano wa kufungua kesi kumshitaki kwa uzembe wa vifo vya Corona na kuficha takwimu?
 
Mawazo ya watu cowards haya, Mnamuogopa Magufuli?

Ndo nyinyi mlimpa Kawawa lawama za waliokufa opereshen vijiji huku Nyerere mnamuita mtakatifu mwenye heri...
 
Back
Top Bottom