relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,187
- 4,762
Wakuu kwema? binafsi nakwazika sana na hizi sms nisizozihitaji toka kampuni za simu bila idhini yangu,kila simu napokea jumbe zisizopungua nne au tano zikinitaka nigombee mamilioni,kuna wakati najiuliza hivi hata Mh. Rais nae anapata jumbe zenye kukera kiasi hiki tena asizoomba atumiwe? au labda ana simu maalum nje ya hawa tigo na moja spesho yao na huyo waziri mwenye dhamana ana hisa/ maslahi na moja spesho tujue kama yy ndiye kabariki kero hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app