Hivi waziri mwenye dhamana ya mawasiliano ana maslahi na hawa Mojashesho?

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,703
2,000
Wakuu kwema? binafsi nakwazika sana na hizi sms nisizozihitaji toka kampuni za simu bila idhini yangu,kila simu napokea jumbe zisizopungua nne au tano zikinitaka nigombee mamilioni,kuna wakati najiuliza hivi hata Mh. Rais nae anapata jumbe zenye kukera kiasi hiki tena asizoomba atumiwe? au labda ana simu maalum nje ya hawa tigo na moja spesho yao na huyo waziri mwenye dhamana ana hisa/ maslahi na moja spesho tujue kama yy ndiye kabariki kero hii.
Screenshot_20200119-142156.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maxime

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
2,148
2,000
Wakuu kwema? binafsi nakwazika sana na hizi sms nisizozihitaji toka kampuni za simu bila idhini yangu,kila simu napokea jumbe zisizopungua nne au tano zikinitaka nigombee mamilioni,kuna wakati najiuliza hivi hata Mh. Rais nae anapata jumbe zenye kukera kiasi hiki tena asizoomba atumiwe? au labda ana simu maalum nje ya hawa tigo na moja spesho yao na huyo waziri mwenye dhamana ana hisa/ maslahi na moja spesho tujue kama yy ndiye kabariki kero hii. View attachment 1327494

Sent using Jamii Forums mobile app
Mark as spam zikae pembeni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,967
2,000
Mimi mwenyewe nimewahi kuwaza kama mh Rais huwa anatumiwa message za tatu mzuka
Au wanatuchukulia easy sisi raia tu
 
Four Years bila Ubingwa

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
1,554
2,000
Wapigie wape namba yako hautapokea tena.
Mi niliwapigia mhudumu akawa anauliza ulo wapi na unaitwaje! Nikamwambia wakati wanaanza kunitumia msg waliuliza niko wapi! Nilitukana mitusi hadi nilimwonea huruma ninayemtukana kwa changamoto ya kazi anayofanya.
 
Price west

Member
Jan 19, 2020
60
125
Tembeza block tu Mkuu, hata mimi nilikuwa nasbuliwa kama hivo
Wakuu kwema? binafsi nakwazika sana na hizi sms nisizozihitaji toka kampuni za simu bila idhini yangu,kila simu napokea jumbe zisizopungua nne au tano zikinitaka nigombee mamilioni,kuna wakati najiuliza hivi hata Mh. Rais nae anapata jumbe zenye kukera kiasi hiki tena asizoomba atumiwe? au labda ana simu maalum nje ya hawa tigo na moja spesho yao na huyo waziri mwenye dhamana ana hisa/ maslahi na moja spesho tujue kama yy ndiye kabariki kero hii. View attachment 1327494

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom