Mkuu naaona dalili kwa mbali!Watakosa kura hivyo endelea kuota kuna siku utaota ndoto ya kweli
Mkuu jamaa anaitafuna nchi mpaka mtu wa pembeni anasikia sauti ya meno ikitafuna,, Ilitakiwa amung'unye tu sasa imekua kama anakula Muwa mixer kuvuta mchuzi na kukata fundo kwa nguvu.Tutajilipa kwa kutumia vote 20 ya bunge la bajeti maana huko ndiyo kuna kichaka cha kuchotea hela
Ni chaguo letu wenyewe ngwa ngwaaaaaaaWATAIMBA TU CCM MBELE KWA MBELEEE
Tumeipenda wenyewee ngwa ngwaaaa
Hilo haliwezekani ndio maana bungeni bajeti huwa inapitishwa kwa kila wizara, sio tu kwaajiri ya maendeleo bali pia kwaajiri ya kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa mwaka mzima.Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani , makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili?