Hivi watu wasiotaka uwepo wa JF wana nia gani?

JF inaanika siri zao nje, utampenda housegirl anae waelezea majiriani maisha yenu ya ndani tena na jinsi unavyomuibia mume wako pesa?
 
sasa si warekebishe tabia manaake its just the matter of time,waswahili wanasema siku za mwizi ni Arobaini
 
Back
Top Bottom