cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Nimekaa sana na kutafakari, ni lipi hasa wanalotaka watu wasio na nia njema na JF?
sasa si warekebishe tabia manaake its just the matter of time,waswahili wanasema siku za mwizi ni ArobainiJF inaanika siri zao nje, utampenda housegirl anae waelezea majiriani maisha yenu ya ndani tena na jinsi unavyomuibia mume wako pesa?
Weakleaksnimekaa sana nakutafakali ni lipi hasa wanalotaka watu wasio na nia njema na JF