Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Kuna mdogo wangu kanishauri sana kuangalia hyo money heist

Lakini nlijitahidi kuangalia pale mwanzo mwanzo ila nishukuru wakati tunaangalia ndo mda ule ule game ya man utd ilikuwa inaanza nikamwambia embu badili channel kwanza tuchek football,, mpira ulivoisha hata hakujisumbua kunikumbusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money heist ni nzuri ila BP ni nzuri zaid.

Kwenye akili PB ndo akili zimetumika kwa kiwango cha juu km tunaweza kurate bhas 9/10 kwa money heist akili imetumika ila sio kiwango cha kuzid PB so rate ya akili iliotumika ni 7/10

Nje ya mada.

Kwa kumalizia kaangalien blacklist ndo utajua 10/10 ya akili ilitumika na mzee Raymond Reddington

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sona moja...
JPEG_20200514_220254_1911747390619781720.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money heist ni nzuri ila BP ni nzuri zaid.

Kwenye akili PB ndo akili zimetumika kwa kiwango cha juu km tunaweza kurate bhas 9/10 kwa money heist akili imetumika ila sio kiwango cha kuzid PB so rate ya akili iliotumika ni 7/10

Nje ya mada.

Kwa kumalizia kaangalien blacklist ndo utajua 10/10 ya akili ilitumika na mzee Raymond Reddington

Sent using Jamii Forums mobile app
Blacklist naonaga kali season 1. Kuanzia ya pili Reddington kapunguza makali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwenye PB kuna character tatu zilikatizwa kibabe ila zilikuwa very emotional.

1. Yule dogo tozi mwizi. Aliuawa season 2 na Mahone.

2. Lincoln Jr a.k.a LJ Jr. Mtoto wa Lincoln.

3. Demu wa Benjamin Miles "C Note". Akikuwa "mkali" balaa ila alifanyiwa ukauzu kweli na askari wa Mahone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure demu wa C note alikuwa mzuri daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwenye PB kuna character tatu zilikatizwa kibabe ila zilikuwa very emotional.

1. Yule dogo tozi mwizi. Aliuawa season 2 na Mahone.

2. Lincoln Jr a.k.a LJ Jr. Mtoto wa Lincoln.

3. Demu wa Benjamin Miles "C Note". Akikuwa "mkali" balaa ila alifanyiwa ukauzu kweli na askari wa Mahone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahone alikuwa katili Sana.
 
Mi nmeona zote ila ya kale si ndwele Moneyheist kali wajuba
PB imezingua season 5
 
Zote nisha ziona, PB, 24 legacy, Money heist, into the bad land, na nyinginezo.

Prisons break ni kisanga, Into the bad land ni kisanga, kwa money heist taka taka ikasome maana ni sawa na T BAG wa PB, imekaa kama love story vile za kikore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom