Hivi watu mnaopanga nyumba na hamna uwezo wa kujenga huwa mnajisikia vipi mioyoni mwenu?

Bwajilo

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
345
880
Kama umeamua kwa utashi wako tu kuwa mpangaji hali ya kuwa uwezo unao Sina neno kwako.

Tuache utani fikiria umepanga na huonyeshi hata dalili ya kumudu gharama za ujenzi. Fikiria wengine ndio mpaka wamezaa watoto na watoto wanazaa wajukuu humohumo ndani ya pango.

Hivi kichwa chako huwa kinafikiria nini?
Kwamba mwisho wako ni nini?
Unafikiri ukimaliza utarudi kwenu bush ubutue jumba ya tembe?
Au huwa unaridhika kwamba utafugwa katika hostel za watu mpaka lini?
 
Kuna mama mmoja alikua mtumishi wa serikali, alikua na ka position kidogo. Binti yake alipewa mimba na mtoto wa dereva wa idara yao. Watoto hawa walisoma shule moja.

Dereva alikua muungwana sana, alitaka wazazi wakae chini waongee. Yule mama alisema mtoto wa dereva hawezi kumuoa mwanae.

Mtoto alizaliwa maisha yakaendelea. Yule mjukuu wa dereva alisoma na kupata shahada mbili. Alipata ajira nzuri na ndiyo anamtunza bibi yake. Na maringo ya Yule mama yote ni damu ya dereva ndiyo inamuokoa sasa hivi.
 
Kuna la kujifunza
 
Mjukuu alisomeshwa na Dereva au Mama?
 
Kama umeamua kwa utashi wako tu kuwa mpangaji hali ya kuwa uwezo unao Sina neno kwako.

Tuache utani fikiria umepanga na huonyeshi hata dalili ya kumudu gharama za ujenzi. Fikiria wengine ndio mpaka wamezaa watoto na watoto wanazaa wajukuu humohumo ndani ya pango.

Hivi kichwa chako huwa kinafikiria nini?
Kwamba mwisho wako ni nini?
Unafikiri ukimaliza utarudi kwenu bush ubutue jumba ya tembe?
Au huwa unaridhika kwamba utafugwa katika hostel za watu mpaka lini?.

Hata Yesu hakuwa na nyumba so relax
 
Back
Top Bottom