UNIVERSE
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 587
- 557
Nami narudia tena kukuelewesha ule si "mchanga bwete" bali ni "processed high grade gold ore"Narudia tena NI UTAAHIRA MKUBWA kwa nchi kuacha dhahabu yake ichukuliwe bila kufaidika na kwenda kupoteza muda kwenye mchanga wa mabaki ya hiyo dhahabu husika. Huo mchanga KAMWE hauwezi kuwa na thamani kubwa kuliko dhahabu.
Mzungu hasafirishi "mabaki" kwenda kwao kusafisha hata siku moja hawezi fanya biashara kichaa kama hio ndugu.
HUWEZI PATA DHAHABU KAMA HUNA MCHANGA WA DHAHABU Tafadhali elewa soma na elewa vyema sentence hii.