Hivi watanzania tukoje! Cheyo alivyokuja ba sera ya kutujaza mapesa tulidharau au hatukumuelewa?

Kikiwo

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,967
1,046
Wana JF, hivi Mze Cheo wa UDP wakati anagombea urais kipindi kile, alikua na sera ya kutujaza mapesa Watanzania lakini wakati wa kupiga kura sijui hata kama alijipatia hata nusu ya robo ya idadi ya wapiga kura . Hivi huyu mze tulikua tunamuelewa vizuri na hii sera ya chama chake cha UDP au tulimpotezea tu?

Je sasa akiamua kurudi na gia ileile mwaka 2020, nafikiri sasa atapata wapiga kura wengi kuliko miaka yote na huyu mze yaweza kufikiri waliompigia kura kwa wingi hawajawahi kupiga kura katika maisha yao.
 
Cheo Hayuko realistic.
Watanzania tunataka maendeleo sio mawazo ambayo ni fantasies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi katiwa mfukoni kwenye mpango wa kuanzisha himaya ya Sukuma+Ntuzu Empire,katulia tulii
 
Kuuliwa kwa fastjet n wengine ili serikali iwe yenyewe kuna tatizo kubwa sana linatengenezwa hapa pia hii chuki inapunguza morali ya ulipaji kodi haina haja ya kutujaza hela wala haitaji hata degree kuleta maendeleo sector binafsi muhim sana....hayo ma Boeing na sgr atapanda nani? Hakuna hela?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom