kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 8,846
- 13,989
Kwani maana yake ni ipi, maana tunatumia kuendana na ulimi unavyoteleza.unless otherwise km nimekosea.
Ulimi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani maana yake ni ipi, maana tunatumia kuendana na ulimi unavyoteleza.unless otherwise km nimekosea.
Wewe Kiingereza unaongea vizuri sana. Inategemea umekunywa kinywaji gani na sehemu gani; Kvant/Konyagi/Hisaje/FacebookDah we jiniaz... mi najua lugha tatu tu. Yani kiswahili ndo namba moja. Kikwetu na kimalkia nafanya kuungaunga tu yani... dah
Afu pamoja nakuwa mahiri wa kulonga kiswahili bado O level nikalamba C ya Kiswahili. Yaani NECTA wananiaminisha hata Kiswahili chenyewe sikijui kiviiiiile... yani wanataka kuniambia nilipaswa kuwa bubu...
Watanzania au wewe ni viwanafunzi vyako sisi ni kiswahili au kikabila tuuHivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.
And dumbits easy to catch up unless otherwise you’re a moron
Sio kwamba watu hawajui...ni mazoea..cha msingi msikilizaji anaelewa nn kinamaanishwa...mbona tunachapia maneno mengi ktk kiswahili....mfano NILIMKUTA HAYUPO..!!
Kingereza chenyewe kina kanuni ya kwamba hasi na hasi haziendan
Mfano huwez kusema I DON'T HAVE NOTHING...unatakiwa useme I DON'T HAVE ANYTHING..sasa angalia ni wazungu wangapi wanakosea....cha msingi ni msikilizaji ameelewa au la!!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
"Unless" ni badala ya neno "If not" shida kubwa tuliyonayo wabongo ni ya walimu wa hovyo wa Lugha. Kingine watu hatupendi kuendelea kujifunza Lugha mara tunapotoka shuleni(tunapomaliza).
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”
“Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
“Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”
Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.