Hivi watanzania kuikacha 'accent' yetu wakati wa kuongea kingereza ni umbumbumbu au ndo ujanja?

Oldskul

Member
Jan 12, 2013
85
151
Wakuu salam

Watanzania wengi especially wasanii na vijana mbalimbali huwa wakiongea kizungu wanajitahidi sana kuonyesha kuwa wao ni USA born. Nchi nyingine nyingi wakiongea Kiingereza wanaongea kwa uhuru na kifua mbele tena by embracing their mother tongue.

Mfano Mrusi akiongea Kiingereza unamtambua kwa accent yake. Mnigeria unamtambua wala huitaji kuuliza utaifa wake. Aaaaah Mtanzania akiongea kizungu anajitahidi kuwa Mmarekani.

Sasa wajumbe ni umburura au ujanja kuona aibu kuembrace mother tongue yako?
 
We unafikiri hao wengine wanavyoongea kiingereza kwa accent zao ni wenyewe ndiyo wamechagua hivyo?

Kuna mnaigeria alikuwa anasikitika kwa kukosa kazi huko marekani kwa sababu ya accent yake.
 
Yaani HELLO tuseme ERRO
Hatutakuwa tunazungumza kiingereza
 
Tanzania Ni Multilingual Area With Different Groups Of Native People Lives Within..Hapa Namaanisha Ya Kuwa Kuna Makundi Mbalimbali Ya Jamii Wanaoishi Tanzania Mfano Wabantu,wanilot Na Kadhalika,Makundi Haya Huwa Na Lugha Tofautitofauti Characterized By Unique Pronounciation Tofauti Na Nigeria Ingawa Nayo Ni Multilingual Area Native People Wa Nigeria Ni Group Moja Kwahyo Pronounciation Yao Ni Same.Sasa Tukija Kwenye Swala La Kiingereza Huwezi Kuongea Kingereza Kwa Lafudhi Ya Kisandawe Au Kimakonde Ni Lazima Tu Utakosea
 
Mbona hata kiswahili ni shida, unaweza kuta kiswahili cha kisukuma n.k
 
Tanzania Ni Multilingual Area With Different Groups Of Native People Lives Within..Hapa Namaanisha Ya Kuwa Kuna Makundi Mbalimbali Ya Jamii Wanaoishi Tanzania Mfano Wabantu,wanilot Na Kadhalika,Makundi Haya Huwa Na Lugha Tofautitofauti Characterized By Unique Pronounciation Tofauti Na Nigeria Ingawa Nayo Ni Multilingual Area Native People Wa Nigeria Ni Group Moja Kwahyo Pronounciation Yao Ni Same.Sasa Tukija Kwenye Swala La Kiingereza Huwezi Kuongea Kingereza Kwa Lafudhi Ya Kisandawe Au Kimakonde Ni Lazima Tu Utakosea
Case closed.
 
Wakuu salam

Watanzania wengi especially wasanii na vijana mbalimbali huwa wakiongea kizungu wanajitahidi sana kuonyesha kuwa wao ni USA born. Nchi nyingine nyingi wakiongea Kiingereza wanaongea kwa uhuru na kifua mbele tena by embracing their mother tongue.

Mfano Mrusi akiongea Kiingereza unamtambua kwa accent yake. Mnigeria unamtambua wala huitaji kuuliza utaifa wake. Aaaaah Mtanzania akiongea kizungu anajitahidi kuwa Mmarekani.

Sasa wajumbe ni umburura au ujanja kuona aibu kuembrace mother tongue yako?
Ilipaswa wafuate mfano wa mtukufu raisi wetu maana akiongea kiingereza, kiswahili au kisukuma tofauti huijui and that is the embracement of one's root.
 
Back
Top Bottom