Wakuu salam
Watanzania wengi especially wasanii na vijana mbalimbali huwa wakiongea kizungu wanajitahidi sana kuonyesha kuwa wao ni USA born. Nchi nyingine nyingi wakiongea Kiingereza wanaongea kwa uhuru na kifua mbele tena by embracing their mother tongue.
Mfano Mrusi akiongea Kiingereza unamtambua kwa accent yake. Mnigeria unamtambua wala huitaji kuuliza utaifa wake. Aaaaah Mtanzania akiongea kizungu anajitahidi kuwa Mmarekani.
Sasa wajumbe ni umburura au ujanja kuona aibu kuembrace mother tongue yako?