hivi watanzania gani wapo kwenye ratiba ya mgao wa umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi watanzania gani wapo kwenye ratiba ya mgao wa umeme?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saint Ivuga, Jul 15, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  jana niliongea na rafiki yangu mmoja ambayo nilikuwa sina mazoea ya kupigiana naye simu. Huyu kijana baba yake ni kapteni. Nikamuuliza kuwa vipi mgao wa umeme hapo Tanzania? Akaniambia kuwa hajui mambo ya mgao.nikashangaa sana sikutaka hata kujua anaishi maeneo gani.sasa ni kina nani wapo wanaotwishwa hili zigo la mgao wa umeme? Wananchi na walimu ambao hawana uwezo hata wa kujinunulia magenereta?..na hawa ndio wapiga kura wakubwa
   
Loading...