Kahaluajr.......uliambiwa wasambaa au watu wa Tanga??Maana kuna wasambaa, wadigo, wabondei wote wanayajua ti ingawa siku hizi hata wachaga twayajua ati mahabat
wakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo woteHuwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
au kibinda nkoi
Tukianza kudadisi sifa za kila KABILA humu, watu wataishia kutiana vidole vya macho...............Kwa mtazamo wangu sidhani kama ni busara sana kudadisi tabia za makabila in general, watu watakwazana humu kwa sababu kama kuna mtu alitendwa na mtu wa kabila hilo, ndio atapata nafasi ya kumaliza hasira zake..........
Na tusipoangalia kila mtu atakuja hapa akitaka kujua sifa za kabila fulani na matokeo yake tutajikuta tukijadili makabila badala ya mambo ya msingi...........................
Wanapenda mambo makubwa kuliko uwezo wao...
Reference:JM
Wanapenda mambo makubwa kuliko uwezo wao...
Reference:JM