Hivi wasambaa wana sifa gani??

Taarifa ya maambukizi ya ukimwi kitaifa iliyozinduliwa na Jakaya Kikwete 27.march.2013 inaonyesha kuwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni Njombe[14.8%], Iringa[9.1%]
Mbeya[9.0%] Shy[7.4%] Ruvuma[7.0%] Dsm 6.9%.
Mikoa ambayo inaongoza kwa kuwa na maambukizi ya chini Lindi na Dodoma 2.9%,Tanga 2.4%, Manyara1.5% kutokana na ripoti hiyo Manyara ndio mkoa katika Tanzania bara ambao maambukizi yapo chini kuliko yote, Pemba 0.3%. masamakwetu Nilitegemea useme hao kwenye hiyo mikoa inayoongoza kwa ukimwi ndio mabingwa kuliko sisi wasambaa, kwa kuongezea tu ni kuwa huwa tunajali sana ....ndom
Inawezekana huo mkoa unaoongoza kwa maambukizi mmejazana humo au pia inawezekana kwa kua hakuna rate kubwa ya maambukizi kwenye mkoa wenu ndo inachangia msiambukizane kwa kasi ila ukweli ni kwamba wasambaaa hasa wanaume ni mnapenda sana kufanya fanya hovyohovyo na kuzaaa hovyo pia
 
umetumia muda gani kufanya huo utafiti, au ni kwa huyo aliyekuzalisha akakuacha
 
Taarifa ya maambukizi ya ukimwi kitaifa iliyozinduliwa na Jakaya Kikwete 27.march.2013 inaonyesha kuwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni Njombe[14.8%], Iringa[9.1%]
Mbeya[9.0%] Shy[7.4%] Ruvuma[7.0%] Dsm 6.9%.
Mikoa ambayo inaongoza kwa kuwa na maambukizi ya chini Lindi na Dodoma 2.9%,Tanga 2.4%, Manyara1.5% kutokana na ripoti hiyo Manyara ndio mkoa katika Tanzania bara ambao maambukizi yapo chini kuliko yote, Pemba 0.3%. masamakwetu Nilitegemea useme hao kwenye hiyo mikoa inayoongoza kwa ukimwi ndio mabingwa kuliko sisi wasambaa, kwa kuongezea tu ni kuwa huwa tunajali sana ....ndom
Wasambaa na wapare ni resistant kwa ukimwi
 
Mghoshi bhana acha hizo aisee

Wilaya ya Lushoto na Bumbuli kuna rate kubwa ya maambukizi ya VVU

Mi nimeishi kule kwa mwaka na nusu

Niliyojionea nayajua mwenyewe hali kwa sasa sio nzuri kule

Halafu wasambaa wanahitaji kujikwamua na kisomo aisee sijui kwanini watu wa kule hawazingatii swala la elimu

Katika utafiti wangu nimegundua wasambaa wa jinsia ya kike wana uwezo mkubwa kiakili kuliko jinsi ya kiume hiyo ni average.

Wanawake wa kisambaa ni wachapakazi sana Ila wanaume wavivu ,walevi wa BOHA .

Katika huo mwaka niliokaa usambaani hasa bumbuli nilishakula wasambaa kibao

Yaani wanawake wa kisambaa wa laini sana kutongozwa unampiga sound SAA 9 alasiri SAA 4 usiku kalala kitandani kwako

Sema wanajua kupenda fasta Ila wanaishia kuchezewa

Ila ni watamu aisee weupeee ngozi lainiii

Hayo ndio niliyojionea usambaani.

Nenda na wewe ukajionea

Wagoshi msipinge
 
Wasambaa wachafu sana alafu wanapenda kuzaliana sana.na wengi wakikimbilia mjini wanalundikana .kazi zao kuu kwa wakaka ni kuuza karanga,wadada wengi ni wasusi
 
Mghoshi bhana acha hizo aisee

Wilaya ya Lushoto na Bumbuli kuna rate kubwa ya maambukizi ya VVU

Mi nimeishi kule kwa mwaka na nusu

Niliyojionea nayajua mwenyewe hali kwa sasa sio nzuri kule

Halafu wasambaa wanahitaji kujikwamua na kisomo aisee sijui kwanini watu wa kule hawazingatii swala la elimu

Katika utafiti wangu nimegundua wasambaa wa jinsia ya kike wana uwezo mkubwa kiakili kuliko jinsi ya kiume hiyo ni average.

Wanawake wa kisambaa ni wachapakazi sana Ila wanaume wavivu ,walevi wa BOHA .

Katika huo mwaka niliokaa usambaani hasa bumbuli nilishakula wasambaa kibao

Yaani wanawake wa kisambaa wa laini sana kutongozwa unampiga sound SAA 9 alasiri SAA 4 usiku kalala kitandani kwako

Sema wanajua kupenda fasta Ila wanaishia kuchezewa

Ila ni watamu aisee weupeee ngozi lainiii

Hayo ndio niliyojionea usambaani.

Nenda na wewe ukajionea

Wagoshi msipinge

Mkuu hata mimi nimezunguka sana hii nchi, hayo uliyoyaona Usambaani ni maisha ya kawaida kwa almost Tanzania nzima, suala la ukimwi na elimu ni changamoto nchi nzima unless ww hujazunguka hii nchi, kuhusu urahisi wa wasichana hilo usilisemee lushoto tu, mimi nimeishi sana mikoa ya nyanda za juu kusini na kaskazini, ni shida. Na sio wasichana tu hata wake za watu, hebu tuambie ww unatoka sehemu gani ili tujue kama kwenu kuna tofauti na uliyoyaona usambaani, nina hakika 100% hutasema
 
Wasambaa ni wapemba wa bara...nadhani umenielewa. Wengi wanapenda kazi za hotelini kupika chai na maandazi
 
Wasambaa wanajua kupenda na kujali.kuna demu alinipenda mpaka nikawa namuogopa.nilijuta kupendwa.nikaamua nimwambie ukweli kwamba Mimi cna mapenzi ya dhati kwako.naomba tuachane.akaelewa kwa shingo upande.
Hahahaaa unapendwa Hadi unaogopa!Kuna wakati unahisi muda wowote unaweza kuendewa kwa Babu!!!
 
ukhuty, post: 18870165, member: 392029"]Sonyumbai kwangu nenkufundishe vyetatama hivyo mpaka ughuuke
Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani![/QUOTE]
pole nimewahiwa tyr
 
mshana jr, post: 18877407, member: 98741"]Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani!
[/QUOTE]
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.[/QUOTE]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom