Hivi wasambaa wana sifa gani??

Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
Wabeba Mizigo Kko na bandarini
 
wanapatikana sana wilayani Lushoto, kuanzia maeneo ya Soni, kongei, lushoto mjini, lukozi, mtae, mlalo, ngwelo, mlola.
nskia pia wapo maeneo ya bumbuli,mpalalu,mbelei,mbuzii,kwehangara,mponde,kwang'wenda,Lwandai,hambali,kigulunde,kwemzue,nyasa,Shashui,vuga,kwadoe,mavului
 
Ukifanikiwa kuopoa binti wa kisambaa jua umeopoa almasi mchangani
Ni wacha Mungu
Ni wakweli
Ni waaminifu
Ni wasafi
Ni wasiri
Wanajua kupenda
Wana jua kupika
Ni wataalam wa tiba mbadala
Wanajua bajeti nk nk
Katika ubora wako mkuu
 
Wasambaaa wanaume wengi wao malaya sana tena sana narudia kwa herufi kubwa MALAYA SANA

Taarifa ya maambukizi ya ukimwi kitaifa iliyozinduliwa na Jakaya Kikwete 27.march.2013 inaonyesha kuwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni Njombe[14.8%], Iringa[9.1%]
Mbeya[9.0%] Shy[7.4%] Ruvuma[7.0%] Dsm 6.9%.
Mikoa ambayo inaongoza kwa kuwa na maambukizi ya chini Lindi na Dodoma 2.9%,Tanga 2.4%, Manyara1.5% kutokana na ripoti hiyo Manyara ndio mkoa katika Tanzania bara ambao maambukizi yapo chini kuliko yote, Pemba 0.3%. masamakwetu Nilitegemea useme hao kwenye hiyo mikoa inayoongoza kwa ukimwi ndio mabingwa kuliko sisi wasambaa, kwa kuongezea tu ni kuwa huwa tunajali sana ....ndom
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom