Hivi wasambaa wana sifa gani??

Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo[/QUOTE]
[/QUOTE]
Nakupenda Dear!
 
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.[/QUOTE]
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo[/QUOTE]

Ila mkuu nimelitafakari swala la nywele za kwapa za Simba, nimeona limekuwa gumu aisee! Huna software nyingine inayoenda na protocol tofauti? Maana nywele za kwapa la simba mkuu!
 
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Hebu mweleweshe tafadhali, niko tayari kuingia mazima, I mean Im in for the long haul. Watoto kama huyu ni adimu sana, I don't want to waste this chance kwa kweli.
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo[/QUOTE]

Ila mkuu nimelitafakari swala la nywele za kwapa za Simba, nimeona limekuwa gumu aisee! Huna software nyingine inayoenda na protocol tofauti? Maana nywele za kwapa la simba mkuu![/QUOTE]
jasho la jogoo mweusi tii mwenye madoadoa
 
tafuta nywele za kwapa za simba jike aliyetoka kujifungua nikufanyie mambo

Ila mkuu nimelitafakari swala la nywele za kwapa za Simba, nimeona limekuwa gumu aisee! Huna software nyingine inayoenda na protocol tofauti? Maana nywele za kwapa la simba mkuu![/QUOTE]
jasho la jogoo mweusi tii mwenye madoadoa[/QUOTE]
Kha! Hii teknolojia yako naona iko advanced sana, ngoja nimtafute kizamani tu kwa kuanza na PM.
 
Ila mkuu nimelitafakari swala la nywele za kwapa za Simba, nimeona limekuwa gumu aisee! Huna software nyingine inayoenda na protocol tofauti? Maana nywele za kwapa la simba mkuu!
jasho la jogoo mweusi tii mwenye madoadoa[/QUOTE]
Kha! Hii teknolojia yako naona iko advanced sana, ngoja nimtafute kizamani tu kwa kuanza na PM.[/QUOTE]
ukitaka cha mvunguni?
 
Wasambaa wanajua kupenda na kujali.kuna demu alinipenda mpaka nikawa namuogopa.nilijuta kupendwa.nikaamua nimwambie ukweli kwamba Mimi cna mapenzi ya dhati kwako.naomba tuachane.akaelewa kwa shingo upande.
 
Lakini afadhali alikuelewa japo kwa shingo upande....wengine ungeisoma number
 
Dear hujakosea hata kidogo... To add it up ni wachapa kazi sana huwa hawachagui Job.. Niliwajua hawa watu as wapangaji wetu when I grew up ..( I lived with them in the same house ). And one of my relative married in this tribe .. Very nice people ... Thanks..
Mmanya ishwi heti chagua ndima nevyeeka hata katibu Mkuu ni mshambaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom