Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,430
😂😂😂 Hebu atuache ama awatafute kama anaweza
Ndio nami nashindwa kushangaa hapa!

hakuna mjinga wa hivyo dunia ya sasa na kama yupo basi atakuwa kaadhiriwa na BANGE mno!!
Sent using Jamii Forums mobile app
POLE AISEE!
ILA MI NNAJUA WALIKOENDA HAO WANAWAKE UNAOWAULIZIA.
KIMSINGI WAMEENDA WALIKOENDA WANAUME HAWA ;
1.Waliofeel proud kutunza wake zao.
2. Waliowajibika kusomesha watoto wao.
3.Waliokuwa wakitafsiri ubaba wao kwa majukumu sio kupiga picha za insta.
4.Wanaojihisi wamekamilika kwa kujali welfare za familia zao.
5.Waliohakikisha wanahangaika kubuni miradi au kuwa watendaji kazi bora kwa manufaaa ya familia zao.
6. Walio kuwa wakivaa suruali zisizobana kende.
7. Waliokuwa wanajua UANAMUME kwanza ni kuwa na boma zao kwanza kabla ya kumiliki vitz.
8. Waliokuwa na misimamo ya binafsi juu ya familia na wake zao.
9. Waliokuwa wanazaa nje ila wanahakikisha watoto wanakuja siku ya kuzikwa kwao tena wanakuja ili tu mjue wapi sio mgombee nyumba maana mama zao pia waliachwa na misimamo yao.
10. Waliokuwa wanakunywa chai na mihogo asubuhi na ugali na mboga ya karanga usiku
11. Waliokuwa wanashiriki kuchimba makaburi iwapo mwenza wao amefariki.
12. Waliokuwa wanachepuka lakini hawaogi kwa mahawara wanaenda kuoga na kula kwa wake zao.
13. Waliokuwa wanaitwa shuleni kwa watoto wao na kukuta kosa kasha kuitwa kundi Zima kasha kuliadhibu mbele ya assembly.
14. Waliokuwa wanakunywa chai au kahawa usiku.
15. Waliokuwa kabla ya kulala wanazunguka nyumba zao kuhakikisha usalama na wao kuwa wa mwisho kuzima taa au vibatari.
16. Waliokuwa wanaendesha magari manual.
IF AT ALL MWANAUME UNA ANY OF SEVEN IF NOT FIVE OF THE MENTIONED TRAITS!
THEN YOU HAVE AN AUDACITY YA KUDAI HUYO MWANAMKE UNAYEMUULIZA ALIKOENDA!
kama huna, KULA NGUMU ASEE!
maisha yamebadilika kote tu!
Tusifanyiane hivyo!
KAMA HAUPO KAMA ALIVYOKUWA BABANGU/BABAKO ,HUNA MAMLAKA YA KUNIDAI NIWE KAMA MAMANGU/MAMAKO.
kwa avitar!! miaka ya 70.miaka ya sabini kurudi nyuma nilishuhudianikiwa kijana
ni barua ya kuomba kazi TRA, maana si kwa mporomoko huo wa maneno, na si kwa kukoreza huko wino!!POLE AISEE!
ILA MI NNAJUA WALIKOENDA HAO WANAWAKE UNAOWAULIZIA.
KIMSINGI WAMEENDA WALIKOENDA WANAUME HAWA ;
1.Waliofeel proud kutunza wake zao.
2. Waliowajibika kusomesha watoto wao.
3.Waliokuwa wakitafsiri ubaba wao kwa majukumu sio kupiga picha za insta.
4.Wanaojihisi wamekamilika kwa kujali welfare za familia zao.
5.Waliohakikisha wanahangaika kubuni miradi au kuwa watendaji kazi bora kwa manufaaa ya familia zao.
6. Walio kuwa wakivaa suruali zisizobana kende.
7. Waliokuwa wanajua UANAMUME kwanza ni kuwa na boma zao kwanza kabla ya kumiliki vitz.
8. Waliokuwa na misimamo ya binafsi juu ya familia na wake zao.
9. Waliokuwa wanazaa nje ila wanahakikisha watoto wanakuja siku ya kuzikwa kwao tena wanakuja ili tu mjue wapi sio mgombee nyumba maana mama zao pia waliachwa na misimamo yao.
10. Waliokuwa wanakunywa chai na mihogo asubuhi na ugali na mboga ya karanga usiku
11. Waliokuwa wanashiriki kuchimba makaburi iwapo mwenza wao amefariki.
12. Waliokuwa wanachepuka lakini hawaogi kwa mahawara wanaenda kuoga na kula kwa wake zao.
13. Waliokuwa wanaitwa shuleni kwa watoto wao na kukuta kosa kasha kuitwa kundi Zima kasha kuliadhibu mbele ya assembly.
14. Waliokuwa wanakunywa chai au kahawa usiku.
15. Waliokuwa kabla ya kulala wanazunguka nyumba zao kuhakikisha usalama na wao kuwa wa mwisho kuzima taa au vibatari.
16. Waliokuwa wanaendesha magari manual.
IF AT ALL MWANAUME UNA ANY OF SEVEN IF NOT FIVE OF THE MENTIONED TRAITS!
THEN YOU HAVE AN AUDACITY YA KUDAI HUYO MWANAMKE UNAYEMUULIZA ALIKOENDA!
kama huna, KULA NGUMU ASEE!
maisha yamebadilika kote tu!
Tusifanyiane hivyo!
KAMA HAUPO KAMA ALIVYOKUWA BABANGU/BABAKO ,HUNA MAMLAKA YA KUNIDAI NIWE KAMA MAMANGU/MAMAKO.
HHAHHAHAH enh point za kudai wanawake mazwazwa zije na tathmini binafsi!ni barua ya kuomba kazi TRA, maana si kwa mporomoko huo wa maneno, na si kwa kukoreza huko wino!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaah... wanapatikana na ni wacheshi kweli, tena hawana makubwa.!! Bulaya001 njoo Dubai nikuoneshe walivyo.!!😂😂😂 Hebu atuache ama awatafute kama anaweza
hakika. maana hii hali siielewHHAHHAHAH enh point za kudai wanawake mazwazwa zije na tathmini binafsi!
YES!
HAKUNA NAMNA!
hakikaYES!
wamekazana kuwadai wanawake kama mma zao wakati wenyewe hawana hata chembe ya ubaba na umume waliokuwa nao baba zao!
WATUPUMZISHE TU KWA KWELI!
Umempa za uso.....!POLE AISEE!
ILA MI NNAJUA WALIKOENDA HAO WANAWAKE UNAOWAULIZIA.
KIMSINGI WAMEENDA WALIKOENDA WANAUME HAWA ;
1.Waliofeel proud kutunza wake zao.
2. Waliowajibika kusomesha watoto wao.
3.Waliokuwa wakitafsiri ubaba wao kwa majukumu sio kupiga picha za insta.
4.Wanaojihisi wamekamilika kwa kujali welfare za familia zao.
5.Waliohakikisha wanahangaika kubuni miradi au kuwa watendaji kazi bora kwa manufaaa ya familia zao.
6. Walio kuwa wakivaa suruali zisizobana kende.
7. Waliokuwa wanajua UANAMUME kwanza ni kuwa na boma zao kwanza kabla ya kumiliki vitz.
8. Waliokuwa na misimamo ya binafsi juu ya familia na wake zao.
9. Waliokuwa wanazaa nje ila wanahakikisha watoto wanakuja siku ya kuzikwa kwao tena wanakuja ili tu mjue wapi sio mgombee nyumba maana mama zao pia waliachwa na misimamo yao.
10. Waliokuwa wanakunywa chai na mihogo asubuhi na ugali na mboga ya karanga usiku
11. Waliokuwa wanashiriki kuchimba makaburi iwapo mwenza wao amefariki.
12. Waliokuwa wanachepuka lakini hawaogi kwa mahawara wanaenda kuoga na kula kwa wake zao.
13. Waliokuwa wanaitwa shuleni kwa watoto wao na kukuta kosa kasha kuitwa kundi Zima kasha kuliadhibu mbele ya assembly.
14. Waliokuwa wanakunywa chai au kahawa usiku.
15. Waliokuwa kabla ya kulala wanazunguka nyumba zao kuhakikisha usalama na wao kuwa wa mwisho kuzima taa au vibatari.
16. Waliokuwa wanaendesha magari manual.
IF AT ALL MWANAUME UNA ANY OF SEVEN IF NOT FIVE OF THE MENTIONED TRAITS!
THEN YOU HAVE AN AUDACITY YA KUDAI HUYO MWANAMKE UNAYEMUULIZA ALIKOENDA!
kama huna, KULA NGUMU ASEE!
maisha yamebadilika kote tu!
Tusifanyiane hivyo!
KAMA HAUPO KAMA ALIVYOKUWA BABANGU/BABAKO ,HUNA MAMLAKA YA KUNIDAI NIWE KAMA MAMANGU/MAMAKO.
Maa proverb
Aah kabisa, safi sana.HAKUNA NAMNA!
NI MWENDO WA KUWAORODHESHEA TU!