Hivi wapo wapi siku hizi wanawake wenye sifa hizi?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?

.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE. 🚶
 
Wakati dunia inahangaika kutukomeza upumbavu we unautaka tena!!
emoji134.png
a huo ni upumbavu? kweli wewe mbulula kua uoe ndiyo utawajua hawa kinadada ni watu wa aina gani
 
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?

.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE. 🚶
Ukoo huo upo kwenye mtaa unaoitwa "Njia-Panda"
 
POLE AISEE!
ILA MI NNAJUA WALIKOENDA HAO WANAWAKE UNAOWAULIZIA.
KIMSINGI WAMEENDA WALIKOENDA WANAUME HAWA ;
1.Waliofeel proud kutunza wake zao.

2. Waliowajibika kusomesha watoto wao.

3.Waliokuwa wakitafsiri ubaba wao kwa majukumu sio kupiga picha za insta.

4.Wanaojihisi wamekamilika kwa kujali welfare za familia zao.

5.Waliohakikisha wanahangaika kubuni miradi au kuwa watendaji kazi bora kwa manufaaa ya familia zao.

6. Walio kuwa wakivaa suruali zisizobana kende.

7. Waliokuwa wanajua UANAMUME kwanza ni kuwa na boma zao kwanza kabla ya kumiliki vitz.

8. Waliokuwa na misimamo ya binafsi juu ya familia na wake zao.

9. Waliokuwa wanazaa nje ila wanahakikisha watoto wanakuja siku ya kuzikwa kwao tena wanakuja ili tu mjue wapi sio mgombee nyumba maana mama zao pia waliachwa na misimamo yao.

10. Waliokuwa wanakunywa chai na mihogo asubuhi na ugali na mboga ya karanga usiku

11. Waliokuwa wanashiriki kuchimba makaburi iwapo mwenza wao amefariki.

12. Waliokuwa wanachepuka lakini hawaogi kwa mahawara wanaenda kuoga na kula kwa wake zao.

13. Waliokuwa wanaitwa shuleni kwa watoto wao na kukuta kosa kasha kuitwa kundi Zima kasha kuliadhibu mbele ya assembly.

14. Waliokuwa wanakunywa chai au kahawa usiku.

15. Waliokuwa kabla ya kulala wanazunguka nyumba zao kuhakikisha usalama na wao kuwa wa mwisho kuzima taa au vibatari kasha kufunga milango.

16. Waliokuwa wanaendesha magari manual.

IF AT ALL MWANAUME UNA ANY OF SEVEN IF NOT FIVE OF THE MENTIONED TRAITS!
THEN YOU HAVE AN AUDACITY YA KUDAI HUYO MWANAMKE UNAYEMUULIZA ALIKOENDA!
kama huna, KULA NGUMU ASEE!
maisha yamebadilika kote tu!
Tusifanyiane hivyo!
KAMA HAUPO KAMA ALIVYOKUWA BABANGU/BABAKO ,HUNA MAMLAKA YA KUNIDAI NIWE KAMA MAMANGU/MAMAKO.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom