Elections 2010 Hivi wapiga kura walikuwa wangapi?

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Kwa takwimu zilizomo katika gazeti la mwananchi, inaonyesha kwamba waliopiga kura jumla yao ni 20,445,725. NEC ilisema wapiga kura walikuwa ni 19+ milioni. sasa hii milioni nyingine imetoka wapi? Hapa na mimi sasa nachoka. Angalia link hii Mwananchi Election Editions

Makadirio/Wapigaji 20,445,725
P. Mziray 65,276
J. Kikwete 3,544,673
W. Slaa 1, 234,254
I. Lipumba 589,451
H. Rungwe 13,809
F. Dovutwa 6,607
Zilizoharibika 144,501
Zilizopigwa 5,608,303
Asilimia waliopiga 27
 
Back
Top Bottom