Hivi wapenzi wa yanga ni walevi kuliko simba

usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,532
2,000
IMG_4489[1].JPG Kwa Yanga kuchukua kitita chote huku masharti yakiwa ni kupiga ulabu na kutuma vizibo vya lager nini tafsiri yake
 

Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,613
1,250
View attachment 128130 Kwa Yanga kuchukua kitita chote huku masharti yakiwa ni kupiga ulabu na kutuma vizibo vya lager nini tafsiri yake

Kuna mawili, Inawezekana kweli ni walevi au waliajiri timu ya kupita bar zote, kumbi zote za starehe, Glossary zote, night club zote, kumbi zote ambako harus, send off, kitchen party zilikuwa zinafanyika ili kuokota vizibo vya Kilimanjaro lager.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom