Awamu ya tano watu walifurahi kuitwa wanyonge kuitwa watu wa hali ya chini, hohehahe na walala hoi.
Wakajengewa roho za kimaskini za kumchukia kila mwenye nacho. Kila ukitoa pesa wanaziona ni zao umewaibia. Waliaminishwa kuwa hii nchi ni ya maskini tu na tajiri yeyote ataishi kama shetani.
Swali kubwa ninalo wauliza wanyonge kwa miaka mitano ya kiongozi wa wanyonge mbona hatuoni hata wamachinga waliokua kutoka umachinga hadi kumiliki maduka?
Mtu kwa miaka mitano unapanga barabara chini pembezoni mwa barabara, mtaji haujaongezeka upo pale pale umedumaa. Humuoni aliyekudumaza unamshangilia kisa tu kakubali uendelee kuishi katika hali ile.
Wakati wamachinga wamefukuzwa wengi wakahamia kwenye frame wakaanza kufanya biashara zao kwa umakini zaidi.
Sasa ni yupi anayewatoa kwenye umaskini anayeutukuza na kuwaacha mdumu nao au anayewaonyesha mlipo sipo hameni haraka kwa namna yoyote?