AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Jamani mimi nashangaaga kweli yaani wengine usipokuwa makini unaweza mzalisha mtoto wa watu watoto kama ngazi sasa sijuagi tatizo ni wanaume wao wanawake wao...?
Mfano: lulu toka awe na majizzo plus akina kanumba huko nyuma Mr. Blue...hakuna hata siku akionekana na mimba...
Tumwangalie shilole mpaka leo hata dalili ya mtoto mwingine acha yule aliyezalishwa Igunga...
Na mastaa wengine wana wanaume la hawazai sielewi.
Naomba kupewa mbinu zao...