Hivi wanawake wenye uhusiano na wanawake wenzao...nao hutegemea kugaramiwa kama ambavyo.....

Kwa hiyo na huyo rafiki yako wa kike tayari ni lesbian pia? Ilikuwaje akubali kuhudumiwa kila kitu il-hali yeye si lesbian?

Huyo demu mwenyew kaka mkali hatari,No yeye sio lesbian ila huyo demu anayemtak ndo yupo ivyo ni mchezaji mpira,na amekaa kidume dume coz alishawahi kunionyesha,hawez kumkatalia directly coz ni rafik yake so uwa anatumia mbinu mbali mbali kumlaghai,kama kumnunulia simu na vitu mbali mbali ili amnase..
 
Eeh hii ipo mbona?? Mm niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu wa kike jinsi demu mwenzie anavyomzmikia na alikuwa anamuhudumia kila kitu,alikuwa hatak awe na mwanaume na alikuwa na wivu sana akimuona uyo demu na mwanaume mwingine,yah hyo ipo na maranyingi hutumiwa na ma lesbian waliokubuhu kuwarubuni wadada wazuri ambao hawana mchezo huo had kukubali
asante kwa kutiririka but wengi wanaosagana wako kwenye level moja ya kiuchumi!
 
Mmmoja niliwahi kumuona pale kariakoo maeneo ya jengo la yanga, kuna pedeshee na kile amemuweka ndani kabisa mwanamke mwenzie na hataki atoke aende sehemu yoyote hadi wawe wote na anahudumia na kupewa kila kitu
 
Back
Top Bottom