Hivi wanawake wanaposema wanataka wanaume wa maana huwa wana maana gani?

Barack na Michelle
Jakaya na Salma
Late kobe na Vanessa
Will smith na .......
N.K

Nan upendo umemelt hapo
Ondoa shaka dada utapata hata milango ya connection ambayo hukufikiria kamwe
Mwisho wa siku sitaki mwanaume maarufu....sipendi kukosa uhuru,kufuatwa fuatwa na mavyombo ya habari huko waaahiiii😏😏😏
 
Hatujaongelea ya out na mimi kulipa bills
Tunakataa zile kodi ya nyumba imeisha, sijui mama anaumwa, we umesikia mimi daktari
Sasa mtu kama huyu anakuwa hana uhakika na wewe na inategemea umemfuata kwa namna ipi!ya kupiga game na kusepa!rafiki,lazima atakutoza hela tu..hujakaa sawa nywele zimefumuka,mara kidogo simu nayo imeibwa😅😅😅ni burudani tu...lkni ndio hivyo lazima tuchunane maisha yapate kuendelea..🤣🤣🤣
 
Hahah, kwahiyo huwa mnatupuna kwa makusudi!? Basi sawa mama
 
Hello JF

Kuna hii kauli huwa naiskia mara kwa mara kutoka kwa wanawake walio wengi wakisema kuwa wanataka kuwa kwenye mahusiano na wanaume wa maana.

Hivi tafsiri ya mwanaume wa maana ndio mwanaume ambaye yuko vipi?

Asanteni
Ukiwa na pesa tu wewe ni maana
 
Na mwanaume anapotaka mwanamke wa maana anakua ana maanisha nini?
Mwenye akili timamu kwa kichwa,busara kwenye kila sehemu husika na mwenye kuwa na uwezo kutatua changamoto zimkabilizo.

Kuna kaka mmoja ni mtu wangu wa karibu sana na kwa kufungua zipu ya suruali yuko njema sana...siku moja nikamtolea uvivu..

“Mwamba si umeoa lkn?mbn kama suruali yako haitulii?akanijibu bwanaeee sisi wanaume kutulia na mtu mmoja ni ngumu sana..😳😳anaendelea,hata siku utoke hapa uende ukamtangazie mke wangu injili kuwa mimi ni mzinziii😅😅lazima akukimbize na panga.nikamuuliza kwanini anikimbize?akanijibu kuwa “wife anamwamini mnoooo...yote hiyo ni kwakuwa alimtengenezea mazingira ya uaminifu kwa miaka mingi..ni mzinzi ni kweli lkni hakutaka mke wake awe na shaka juu yake.
Anaendelea,yule mwanamke ni kichwa bhana..nika😅😅ni kamuuliza kwanini?akeasema kuwa anaakili ya maisha kuliko kawaida.hata siku akiondoka duniani najua watoto wake hawawezi kupata shida kwa namna yoyote.anaongeza zaidi na kusema,kama asingemuoa huyo mwanamke hajui maisha yake yangekuwa ya namna gani”

Hapo nikagundua kitu.😅😅mtu kama kalewa akiuliza kitu anafunguka jmni kha...
 
Hello JF

Kuna hii kauli huwa naiskia mara kwa mara kutoka kwa wanawake walio wengi wakisema kuwa wanataka kuwa kwenye mahusiano na wanaume wa maana.

Hivi tafsiri ya mwanaume wa maana ndio mwanaume ambaye yuko vipi?

Asanteni
Tofauti na type hizi
IMG-20200607-WA0005.jpg

Jr
 
Mwanaume anaejielewa kimajukumu, mwanaume mwenye future na sio mwanaume mchezeaji. Inshort mwanaume anaetambua nafas yake kama mwanaume kwa mwanamke sio unaombwa hela unakuja leta uzi jf no

Dah aisee kweli wacha tutafute ndalama tuzivuruge hizi papuchi zao...

Sasa mie nashindwa kuelewa kitu kimoja tuu... Wao wanataka mwanaume mwenye ndalama wakati huo huo wanatambua ya kuwa wanawake wengine pia wanawasaka hao hao wenye ndalama... Kwa nini wanakasirika sasa tukiwagegeda hao wanawake wengine
 
Kwenye haya maisha bhana kama unajua kabisa siwezi kitu fulani kiko nje ya uwezo wangu na umejitahid kwa kadri ya uwezo wako imeshindikana,,my friend achana nacho hakuna haja ya kujitesa.wanadamu hawajawahi kuridhika.

Kama unamuona mwanamke anagharama sana achana nae fanya mambo mengine ya maendeleo..kama anakupenda atakuja kwa namna nyingine.

Kuna wanawake ambao hawana gharama wamejaa tele huko ni bora kuwafuata hao.

Tukubali kuwa kuna wanaume wanapenda kitonga jamn kha!!uko nae mwezi wa kwanza,wa pili,watatu Yesu kristo hajiongezi ngoja basi hata leo nimpeleke mpenzi wangu saloon asukwe akimaliza anijulishe nije kulipa imajini mwanaume mzima kabisa anashindwa kufanya kitu kidogo kama hicho.

Yes ninafanya kazi napata pesa sikusumbui hata kidogo lkni hata pedi ya 3500 unashindwa kuninunulia na unajua fika leo man U wanacheza na simba kweli!!!f....off nitakuuzia tu afe beki afe kipa.umeshindwa kujiongeza kama mwanaume.kila kitu nijihudumie mwenyewe kazi yako kunitafuna tuweweeeeeeee
Uko sahihi mama , Ubarikiwe
 
Yes ninafanya kazi napata pesa sikusumbui hata kidogo lkni hata pedi ya 3500 unashindwa kuninunulia na unajua fika leo man U wanacheza na simba kweli!!!f....off nitakuuzia tu afe beki afe kipa.umeshindwa kujiongeza kama mwanaume.kila kitu nijihudumie mwenyewe kazi yako kunitafuna tu😅😅😅weweeeeeeee
Umemaliza kwa uhakika na haihitaji la nyongeza
 
Kwenye haya maisha bhana kama unajua kabisa siwezi kitu fulani kiko nje ya uwezo wangu na umejitahid kwa kadri ya uwezo wako imeshindikana,,my friend achana nacho hakuna haja ya kujitesa.wanadamu hawajawahi kuridhika.

Kama unamuona mwanamke anagharama sana achana nae fanya mambo mengine ya maendeleo..kama anakupenda atakuja kwa namna nyingine.

Kuna wanawake ambao hawana gharama wamejaa tele huko ni bora kuwafuata hao.

Tukubali kuwa kuna wanaume wanapenda kitonga jamn kha!!uko nae mwezi wa kwanza,wa pili,watatu Yesu kristo hajiongezi ngoja basi hata leo nimpeleke mpenzi wangu saloon asukwe akimaliza anijulishe nije kulipa imajini mwanaume mzima kabisa anashindwa kufanya kitu kidogo kama hicho.

Yes ninafanya kazi napata pesa sikusumbui hata kidogo lkni hata pedi ya 3500 unashindwa kuninunulia na unajua fika leo man U wanacheza na simba kweli!!!f....off nitakuuzia tu afe beki afe kipa.umeshindwa kujiongeza kama mwanaume.kila kitu nijihudumie mwenyewe kazi yako kunitafuna tuweweeeeeeee
Akili za mjini !!!!!
 
Back
Top Bottom