Hivi wanawake wanapocheat wana mapenzi na wanaocheat nao?

Rukwa21

Senior Member
Apr 6, 2012
142
42
kwa experience niliyoiona mara nyingi mwanaume akicheat hujua fika ana mpenzi permanent ni lazima arudi kwa mwenzi wake. Kwa wanawake mara nyingi wakichungulia nje hunogewa na kuhamia huko. Jee kuna ukweli ndani yake?
 
Mwanamke akicheat jua humviringishi vizuri na akipotelea huko wewe ni boya kabisa alafu heading yako ni tofauti na ulichokiandika,pia jiulize na wanaume wanapocht wana mapenzi na wake zao=tamaa
 
ni kweli.....huwa tuna hulka ya kuhamia kabisa.....kikiumana.....tunarudi tulikotoka......
 
nivea hata jinsi ilivyo inamaana pia.

iko hivi mara nyingi sana wanawake wanapocheat ni kwasababu ya kukosa wanavyovitaka like upendo, pesa, kurushwa maji vizuri, kazi, vyeo, nk. katika hali kama hii mwanamke hujikuta akilazimika kumtimizia mwanaume chita wake haja zake na hivyo ili ajitendee haki basi ni lazima aekepo na kahisia kauongo ili uone anakufeel.

kwa wengi huwa hawana mapenzi ya kweli na hao chita wao ila ni circumstantial tu. na ndo maana akipata anavyotaka huweza kuacha kucheat
pia mwanamke huwa anamivu sana na yule anyecheat nae na simply kwasababu anaona kama hatendewi haki.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli.....huwa tuna hulka ya kuhamia kabisa.....kikiumana.....tunarudi tulikotoka......

ila huwa hatuamii kihisia za wazi Preta wengi sana ni circumstantial tu , hasa kwa yale wanayoyakosa ni mara chache kumkuta mwanamke anacheat kisa eti ni tabia yake mara nyngi huwa ni kwasababu ya anavyovikosa.
 
Last edited by a moderator:
Unachit kwa kubonyeza pakibonyea unaweka makazi sub-permanent,..with a big plastic feelings,pakinoga..poa pakizingua unajirud kwa spid ulpotoka..teh
 
ila huwa hatuamii kihisia za wazi Preta wengi sana ni circumstantial tu , hasa kwa yale wanayoyakosa ni mara chache kumkuta mwanamke anacheat kisa eti ni tabia yake mara nyngi huwa ni kwasababu ya anavyovikosa.

Kwa hiyo mnajaribu sehemu nyingi kuona kama utapata ulichokikosa sio. Na kmbka kuwa sio kila mtu ana kila kitu. Sasa utakwenda na wangapi?. Msilazimishe cheating ni UMALAYA tu...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mnajaribu sehemu nyingi kuona kama utapata ulichokikosa sio. Na kmbka kuwa sio kila mtu ana kila kitu. Sasa utakwenda na wangapi?. Msilazimishe cheating ni UMALAYA tu...

hebu twende taratibu hapa.....mwanamke akicheat ndio umalaya........au na mwanaume pia......?
 
Kwa hiyo mnajaribu sehemu nyingi kuona kama utapata ulichokikosa sio. Na kmbka kuwa sio kila mtu ana kila kitu. Sasa utakwenda na wangapi?. Msilazimishe cheating ni UMALAYA tu...

msome Preta hapa chini kisha mjibu

hebu twende taratibu hapa.....mwanamke akicheat ndio umalaya........au na mwanaume pia......?
 
Last edited by a moderator:
kwa experience niliyoiona mara nyingi mwanaume akicheat hujua fika ana mpenzi permanent ni lazima harudi kwa mwenzi wake. Kwa wanawake mara nyingi wakichungulia nje hunogewa na kuhamia huko. Jee kuna ukweli ndani yake?

Hilo neno 'harudi' linaleta utata kwenye thread yako
 
ila huwa hatuamii kihisia za wazi Preta wengi sana ni circumstantial tu , hasa kwa yale wanayoyakosa ni mara chache kumkuta mwanamke anacheat kisa eti ni tabia yake mara nyngi huwa ni kwasababu ya anavyovikosa.

Kama gari na pesa...? kwa mfano....!
 
Huwa nadhani hivi, mwanamke hucheat kutokana na kukosa vile vitu anavyovihitaji toka kwa mwenzi wake.
Pia wapo ambao tamaa huwa zinawazidi baada ya kukutana ama na mwanaume mwenhe pesa au mtanashati au mcheshi n.k.
Binafsi nina mfano hai kwani wake za watu kadhaa wameshawahi kunitokea na wanatoa sababu ambazo ukizipima unaona huyu mtu kuna kitu hatendewi na mumewe na anakiona kwangu pekee.
 
Mwanamke akicheat jua humviringishi vizuri na akipotelea huko wewe ni boya kabisa alafu heading yako ni tofauti na ulichokiandika,pia jiulize na wanaume wanapocht wana mapenzi na wake zao=tamaa
Ukisoma paragraph yote vizuri inaendana na kichwa cha habari. Sisisupport mwanaume au mwanamke kucheat, ila experience niliyoiona hayo hutokea
 
hebu twende taratibu hapa.....mwanamke akicheat ndio umalaya........au na mwanaume pia......?

Hamna utetez wa cheating jamani, ni umalaya ni uovu ni dhmbi, ni kma kesi ya kuua hwez sma ni hasra au nini sijui, ss na wanawke wte 2nawajbka
 
The devil is inside the cheaters

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom