Hivi wanawake wanakuwaga na akili gani? Wanawaza nini?

mke wangu kosa pekee linaloweza kukutenganisha na mimi ni kuwazalau wazazi wangu au kuwafanyia visa. nisisikie hukuwawapikia! au umewajibu vibaya. mimi sijawahi. ukitaka talaka fanya kati ya hayo
 
Namba 3 wanataka umpe mke kipaumbele
255659362911_status_bf2a80d684244f4f8fae5a16d5af76e5.jpg
 
mke wangu kosa pekee linaloweza kukutenganisha na mimi ni kuwazalau wazazi wangu au kuwafanyia visa. nisisikie hukuwawapikia! au umewajibu vibaya. mimi sijawahi. ukitaka talaka fanya kati ya hayo

Wanawake nawaonea huruma

Yaani umuoe aache kupikia wazazi wake aje kupikia wazazi wako?
Wakati huo anakuhudumia fully?

Labda Kama huyo mzazi ni mgonjwa au kuna special case. Vinginevyo ni kushindwa kutambua majukumu ya mke.
 
Well said mkuu ili tatizo lipo sana mimi wazazi wangu nawaeshim sana kuliko mke kwakwel tena mke atanipa ushauri au atasema vyote ila linapokuja suala la wazazi wangu namuweka kando kidogo
 
Ukweli mtupu wanawake wengi wapo na vihelehele vya kufuatilia matukio ya familia za wame zao na kujifanya kutoa ushauri hakati yeye yanayotukia kwenye familia zao wanayafanya siri unakuta mume unabaki kusikia skendo tu
 
Back
Top Bottom