Hivi Wanawake tukoje?.......

hapa hatuuziani sumu kama za wanaisiasa wa tanzania......umesema "wanaume......." ndio nakwambia kwa kauli yako umefanya reasearch? toa ushahidi wako haya ndio maneno ya saluni eti "wanaume vile wanawake vile"

Shem ndivyo walivyo hao, utaumiza kichwa bure!
 
Watu wana hila za panya, kujipitisha sebuleni wageni wakiwepo.
Maisha ya ndoa mh
 
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.

Kwa hiyo Penny ulikuwa unamzuga tu na zile tenzi zoooote tamutamu?
 
Naomba ufafanuzi (kutoka kwa wasomi wa Vitabu Vitakatifu):

Ni wakati gani mwanamume (aliyeoa) na mwanamke (aliyeolewa) anapotambulika kuwa AMEFANYA ZINAA?

Maana Nabii Isaya alipowaambia mayahudi pale kwenye sinagogi kuwa kama kuna mmoja wenu hajawahi kufanya zinaa basi na awe wa kwanza kumrushia jiwe yule aliyekamatwa akizinii!!!!

Alipogeuka - hamna mtu!!!!
 
Baba mie sikujibu kama msomi najibu kwa ninavyoelewa mimi.

Kuzini ni pale
1. Mtu (Asiye katika ndoa) akikutana kimwili na mtu mwingine (asiye katika ndoa)
2. Wanandoa wakatoka na kuzini na mtu mwingine yeyote ambaye si mwanandoa wake mf. Mrs. x akazini na Mr.y (mume wa Mrs y) au akazini ni G (ambaye ni bachelor)
 
Naomba ufafanuzi (kutoka kwa wasomi wa Vitabu Vitakatifu):

Ni wakati gani mwanamume (aliyeoa) na mwanamke (aliyeolewa) anapotambulika kuwa AMEFANYA ZINAA?

Maana Nabii Isaya alipowaambia mayahudi pale kwenye sinagogi kuwa kama kuna mmoja wenu hajawahi kufanya zinaa basi na awe wa kwanza kumrushia jiwe yule aliyekamatwa akizinii!!!!

Alipogeuka - hamna mtu!!!!

Hivi alikuwa Nabii Isaya kweli? Naona kama alikuwa Yesu ndo alosema haya! Niko mbali sana na maandiko cku hizi.
 
Kama tumeamua kuoa/kuolewa halafu level ya cheating inakuwa kubwa kiasi ninachokiona sasa, then ndoa nyingi ni batili.Hazipo kama ndoa bali sehemu ya watu kutimiza wajibu kwamba nilioa/kuolewa.
Ninachojiuliza ninini ndo tatizo la haya yanayoendelea? SMS imefungua macho kwasababu jamaa ameiona. Ngapi zinakuwa deleted mara zinaposomwa? We acha tu..uaminifu umekuwa tatizo sugu na leo hii hakuna tofauti kati ya wanaume na wanawake.Wote tunafanana fanana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom