Hivi Wanawake tukoje?....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Wanawake tukoje?.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Apr 16, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yametokea Pasaka hii hapo Sinza.

  Bwana na Bibi Saleh wakiwa wamejipumzisha jioni moja, ikaingia sms kwenye simu ya Mama ' We mwanamke mbona una roho mbaya Pasaka yote umekula mwenyewe hujaniletea mtoto nami nikae nae. Nakwambia niletee mwanangu kesho la sivyo tusijuane tena........'

  Hii ni sms ilotoka kwa Mpemba kwenda kwa Mke wa Saleh.

  Na ndio ilomfungua macho Mr. Saleh kuwa mimba aloilea, iliyomletea mwanae wa kiume (Baraka) haikuwa yake wala mtoto si wake ni wa Mpemba.

  Mama Baraka akiulizwa anakimbilia kukoroma kwa nini mume ashike simu yake.

  Source: Leo Tena Clouds FM. 16th April 2009.

  Maswali yangu:
  1. Wewe ni mke wa watu na umeolewa kwa nini ucheat?
  2. Ok Umeamua kucheat ndo hadi ubebe na mimba jamani? Uroho/ ulafi gani huo? Unakula hadi unakomba mboga?
  3. Haya basi imenasa, kwa nini umwambie huyo wa nje kuwa una mimba yake wakati unajua kabisa unae mumeo?

  Basi mswada huo wa fidia kwa wale wataogungulika kulea watoto wasio wao walipwe fidia, upitishwe.
   
  Last edited: Apr 16, 2009
 2. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UMESHAKUA..........Mama.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  He Bonnie haya nifafanulie nimekua mie au huo mswada maana tungoyo tata!.
   
 4. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nina maana ya kwamba umekua wewe my love KIUMRI.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
  Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
  Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
  Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
   
 6. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mama, unavyokua kiumri ,ndivyo unapata revelations za ajabu kila siku.
  That is what I meant.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwani wewe hujui? wapemba wanapenda kula TIGO...

  sikilizeni Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  masanilo kazaliwa pwani kakulia pwani alikuwa anakwenda likizo wiki 2 kwao kahama.......so ni mpemba full....
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tafadhali dada pole pole ni msukuma chapa Ng'ombe (Nzagamba gete gete!!)
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu umeisikiliza hio link niliokuwekeeni?
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hahahaha mzee wa maganzuuuuuuuuuu haya bana
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu ngoja niifuatilia kwa kina....wapemba bana wanachafua sana dada zetu
   
 15. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama umekataa kufuga ng'ombe, basi maziwa usinywe!
   
 16. M

  Mpare Member

  #16
  Apr 16, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hmmh! sio wanawake peke yao! Stories za wanaume kuzaa nje zinasikika kila siku, esp. kama kwa mfano mme akifa, ndo all those revelations za watoto wa nje huwa zinatokea. Siku hizi mambo ni tit for tat.. such is life my dear.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Weweeeee maziwa kama kawa sasa mfugaji atamuuzia nani maziwa?Kama sio mimi...
   
 18. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama ni hivyo, tegemea maziwa yaliyoongezwa maji kila siku. Unadhani unakunywa maziwa kumbe maji ya mferejini!
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mie naona huyo mama mumewe alikuwa hamridhishi, hamfikishi kunako. kazi kweli kweli! Hizi cheat jamani!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,885
  Likes Received: 83,367
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha hawa wanadai when you're in rome....lakini jamani haya mambo ya TIGO si kweli kwamba yako Pwani tu yameenea hata huko katika remote areas za nchi yetu wanayajua mambo haya na wanayafanya. Nina marafiki zangu wengi wametia mguu katika kila kona ya Tanzania na wanadai mambo haya ya TIGO siku hizi huwezi kusema ni ya Pwani tu.
   
Loading...