Hivi wanawake ni nani huwa anawadanganya kwamba mkitoboa pua na kuweka kipini huwa mnapendeza?

Mi huwa nawaona kama vile in wauza papuchi tu mwanamke wa aina hiyo nikikutana nae sitongozi nauliza tu shingapi maana naona kama vile in wale wanaojiuza ila samahani kwa yeyote nitakae mkwaza ni mtazamo wangu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana kutoboa pua mixer masikio mara tatu...tatizo naogopa maumivu tu
 
Mwanamke ni kuwa mrembo ila vipini vya puani nadhani ni tamaduni za Asia na Middle East ila wale wenzetu pua zao ni nyembamba ila ukute mbantu na mpua mpana kama sketi ni wachache sana wanapendeza
 
Nilikuwa na mchepuko. Siku nilikuta katoboa pua nilihisi nimelala na jini. Baada ya hapo sikupokea simu tena
 
Back
Top Bottom