Hivi wanawake na nyie mnatamani wanaume kama sisi?

Kwa maumbile Wanawake wanaweza kukaa hata miezi 6 au zaidi bila kuhisi anahitaji mwanaumme, tofauti na wanaume kwa week hata mara 3 au 4, hiyo ni kwa mujibu wa mwanasoikojia Chris mauki chuo kikuu udsm.
 
mwanaume aje na viashiria vya pesa kwa kweli huwa naweweseka kiaina na nilishawahi mtongoza mmoja mwenye pesa tatizo alikuwa ananuka jasho na mdomo na hata ubadilishaje haikuwezekana nikampiga chini, sema nilifanikiwa kumuendesha mbaya na kula pesa yake hatari.. sababu nilimtongoza halafu baada ya game nikamtengenezea mazingira ya kuwa ajafanya kitu , haloo kama hupo humu pole kaka ila ndiyo hivyo tena no longer
na kuna ambao nawatamani kwa maumbo yao hasa nikiwa na hamu yani mda sijaguswa nakuta nikiona kidume cha aina fualani namkadiria sema ndiyo hivyo uwezi mfuata sababu nyege zikiisha akili ikirudi ni hatari wengine wanaganda...
Nimekukubali, akikuganda jigandue
 
Inatokea ndiyo kila binadamu kaumbiwa matamanio jmn msema kweli mpnz wa mungu hata huku jf kunamtu nilipo jiunga tuuu nilimtamani hadi leo namtamani....lkn ni avatar tuuuu moyoni unajisemea km angekuwa ndiyo yeye kiuhalisia ikatokea skakutongozaaaa daaa sijui km unarukaaa...........

Utani tuuuu teh teh teh teh
Najua unanizimia sema shobo zako nimekukaushia nataka nikusapraiz siku pole sana
Wako
Unaenizimia
 
Kwa maumbile Wanawake wanaweza kukaa hata miezi 6 au zaidi bila kuhisi anahitaji mwanaumme, tofauti na wanaume kwa week hata mara 3 au 4, hiyo ni kwa mujibu wa mwanasoikojia Chris mauki chuo kikuu udsm.
Je unamuamini huyo Mauki?
 
Kwa maumbile Wanawake wanaweza kukaa hata miezi 6 au zaidi bila kuhisi anahitaji mwanaumme, tofauti na wanaume kwa week hata mara 3 au 4, hiyo ni kwa mujibu wa mwanasoikojia Chris mauki chuo kikuu udsm.

Huo ni uongo wa hali ya juu. Mwanamke akiwa hana stress na anakula vizuri anatamani kila siku ni kujitahidi kuji control tu.
Halafu wanawake wanamani sana tu we angalia wanavyopenda hayo ma soap kule kuna wanaume wa haja. SAA nyingine unaona mwanamme ana umbo au sauti nzuri unasema looh I wish angekuwa Mme wangu ila ndio hivyo ushachagua kibushuti chako basi inabidi uvumilie tu. Kuna wanawake wanajidai wanapenda football ila kuna wengine utaona kuna mchezaji specific anampenda. Sasa nyie endeleeni kujidanganya na zile theory za kizamani wakati mwanamke alikuwa.anakeketwa ndio.maana SAA hizi mnashangaa dunia imebadilika sio ile.ya mababu zetu.
 
Ww imekutokea lini mara mwisho?!
 
Back
Top Bottom