juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
- Thread starter
- #301
kweli dunia ina mamboMi nishawahi kumpenda kaka mmoja ivi, yani nilikua sipati usingizi nikimuwaza! Lakin haikuchukua muda akanitongoza basi nilifurahi sana maana mi nilikua sina uwezo wa kimtongoza.