Hivi wanawake na nyie mnatamani wanaume kama sisi?

Mi nishawahi kumpenda kaka mmoja ivi, yani nilikua sipati usingizi nikimuwaza! Lakin haikuchukua muda akanitongoza basi nilifurahi sana maana mi nilikua sina uwezo wa kimtongoza.
 
Back
Top Bottom