Hivi wanawake na nyie mnatamani wanaume kama sisi?

Basi wasilisha ombi... kwa shangazi yake espy mimi kubwa lao la maadui AKA Dady yao AKA babamdogo nitabariki kila lililojema.

Onyo : binti zangu sio wa kisport sport wamekamilika kila idara sio vyura wala sio risepusheni ukiwahitaji basi nawe usiwe wa kisport kisport.

Kuna hawa wawili pia waangalie kwa jicho pevu
Jovitha
Anny0

Huyu ankali wangu Heaven Sent haumuwezi mwaache tu.
Abeee uncle
 
Back
Top Bottom