Hivi wanawake mna matatizo gani.?Tizama maajabu ya Zamaradi

Huwezi jua labda jamaa ana MUHOGO WA JANG'OMBEEE hujaulamba mwikoooooo, usitukane wakungaaaa na uzazi ungalipooooo....
 
Hapo ndo utajua kwanini wanawake hawahesabiwi kibiblia na kwanini kati ya wanafunzi 12 wa Yesu hapakwepo na mwanamke japo moja tu. Kaane nao kwa akili, maandiko yamesema.
 
Kha! Si uende akakuowe wewe huyo Rugge kama ndio unamuona wa maana.
 
Teteteteeee kitu wabawake wataka kukunika aswaa ataukimpa pesa zimejaa kontena mia kashoo pumzi huna utaachwa tu!!
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..
weka picha ya zamaradi tumuone si ajabu naye ni kama huyu kijana
 
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane umefunga harusi...(pathetic)

Kamuacha Ruge tena aliyezaa nae watoto wawili..

1a2b6f4cc8ce4b7fa1a30d8612db00d6.jpg

Kaenda kuolewa na huyu dogo ,yaani sababu kubwa afunge harusi..

f2334de5887916b0b25553260f257fe3.jpg

85085197ffc6c822cb65350435524c81.jpg

Kweli wanawake mna fantasy za ajabu ndio maana ni viumbe vya ajabu..
Wanawake sio watu kabisa maana anaweza kukuacha umelala usiku akatoloka akagongwa huko nje alafu akarudi ndani ndo maana hata Yesu aliwaambia mkiweza oeni msipo weza acheni
 
Sasa unataka kuwapangia watu waolewe na nani?

Akikwambia huyo dogo anamsugua na muhogo wa Jang'ombe anaoupenda na huyo Ruge ana kibamia utasemaje?
 
zama.JPG
max.jpg

Mwanamme hana mvuto,Demu yuko bomba zaidi hiyo ni sababu tosha huyujamaa kubwagwa....
 
Back
Top Bottom