Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
1,231
2,400
Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha.

Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani.

Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako watu 11 yeye kapewa hela ya majina 3.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
❤️ SOMA NENO LA MUNGU❤️
📖 Mithali 31: 2-3, 30

🧏🏻‍♂️ Sikia

📌2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

📌3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

📌30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.

🙏❤️ Mbingu Ipo❤️🙏
 
Hahahahaha
Huyo ni matatizo
Unaenda kuwekeza kwingine wako una sahahu alafu unajiita muwekezaji
Aanza kuwekeza kwako kwanza alafu uende kwingine
Inabidi sisi kama wananume na sisi tutafute semina ya uwanaume
Kwan kuna sehemu nahisi tunajisahahu sanaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom