Hivi wanaume wenzangu mliooa huwa mnafanyaje hadi hamkamatwi?

huyo mshauri atumie strategy hii, yeye awe anapiga zile tunaita hit and run. yaani kama umeenda zako huko mkoa mwengine ndio unapiga au kama vipi mbona warembo wakupiga one time wapo wengi tuu kwenye mitandao.
ukishaanza full blow affair lazima ukamatwe tuu maana pattern itabadilika.
Nakazia hapa, yaani ukitaka kuchepuka na uwe nae wa kudumu Basi tafuta Mke wa mtu au single mama mmoja tulia hapo lakini Kama unataka Hawa namba D lazima utakamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia hapa, yaani ukitaka kuchepuka na uwe nae wa kudumu Basi tafuta Mke wa mtu au single mama mmoja tulia hapo lakini Kama unataka Hawa namba D lazima utakamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
@dtj na mzabzab Hakika kwa michango yenu ningependa kuwaalika kujiunga na chama chetu cha KNIGHT WALKERS...

Ninatumai mtafaidika na mengi na pia mtaongeza mengi...

Hii ndio mifano ya ushauri bora unayopaswa kumsihi mwanachama mwenzio na sio kuacha kuchepuka

Kaaribuni Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada,
Pangekuwa hamna UKIMWI/VVU na magonjwa mengine ya zinaa hata nisingehangaika mume, mpenzi, boyfriend wangu aki-cheat.
Kwa kifupi nisingemfuatilia kabisa cha msingi afanye majukumu yake.
duh 😞😔😟
 
Wakuu kwema?

Kuna jamaa yangu yeye kaoa lakini haipiti mwezi kakamatwa na mkewe kuwa anacheat, so kaniomba mbinu za namna ya kuepuka kukamatwa mara kwa mara.

Asanteni
We umeoa??
Kama yeye aliyekuomba ushauri angetaka kuja kuomba huku jf angeshindwa??
How old are you?? And How old is he??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua ki simu cha torch michepuko yako yote iweke humo.Halafu hicho ki simu kila ukirudi nyumbani unakiacha kwa mangi dukani. Sema unakiacha silenti tu.Asubuhi unakipitia ki simu chako kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwema?

Kuna jamaa yangu yeye kaoa lakini haipiti mwezi kakamatwa na mkewe kuwa anacheat, so kaniomba mbinu za namna ya kuepuka kukamatwa mara kwa mara.

Asanteni


Kuepuka hilo ni kufanya kinyume chake tu.

Ahsant.
 
Kwenye huu uzi kila mwanaume mwaminifu. Na hii ni sababu na wewe umeanza na uongo wa “jamaa yangu”

Ngoja nikusaidie mdogoangu

Mbinu kuu ni katika uchaguzi wa mchepuko. Chagua mchepuko mwenye cha kupoteza endapo itajulikana yuko na wewe. Yani na yeye awe na msukumo wa kuweka mahusiano yenu siri.

Halafu awe wa mbali lakini isiwe sehemu ambayo huwezi tolea explanation. Yani unakuwa na mchepuko Gongo la Mboto siku unakutana na shemeji yako huko ukija kuulizwa huna cha kujibu ulifuata nini

Pia uwe unajitahidi kutomponda mkeo kwa mchepuko. Usiweke wazi madhaifu yake tena ikibidi kiaina unamsifia kwa mbali ili daima ajue yeye wa chini zaidi ya mkeo

Tatu penzi la kuiba sio la kukolea unajikuta Shahrukh Khan. Simu simu za kila dakika achana nazo. Ukiwa naye enjoy naye sana na MPE HELA! Sio umpe zaidi ya uwezo familia iteseke ila mpe hela. Ukiwa busy na familia yako yeye yuko busy kutumia hela
umemaliza,hiyo tatu ndio janga sana. Me nna kisimu changu kinaaga hukooooo,yaani ilipo spare tairi huko ndani ndani kbs,haitokaa kionekene
 
Mmekariri nyie sio kila ndoa inawaka moto...yaan kwa sababu kila ndoa ni kilio ndo namm kuvumilie maumivu!! Tena kwa ndoa zetu hakuna kuachana aisee namuonea huruma ataeoa mm kama atakua ni kitombi.
hujanijibu..umeolewa?
 
Back
Top Bottom