Hivi wanaume wenzangu mliooa huwa mnafanyaje hadi hamkamatwi?

Wakuu kwema?

Kuna jamaa yangu yeye kaoa lakini haipiti mwezi kakamatwa na mkewe kuwa anacheat, so kaniomba mbinu za namna ya kuepuka kukamatwa mara kwa mara.

Asanteni

Jamaa gani kama sio wewe?
Inategemeana na mwanamke, ukikuta anajua uhuni lazima ukamatwe ila wengine sio kiviile hawapendi ujinga
 
Matatizo yanaanzia kwenye simu,afanye kila mbinu kila mtu akae na simu yake,ruksa kushikana lakni sio kushkiana simu.
Bado hujamsasaidia ushaur

Kuna haja gan ya kuish na,mtu ambae hamuaminian hata kwa dk Moja

god is good
 
Unaish tabata unaenda kucheat vingungut
C uchz huo

god is good
 
Wakuu kwema?

Kuna jamaa yangu yeye kaoa lakini haipiti mwezi kakamatwa na mkewe kuwa anacheat, so kaniomba mbinu za namna ya kuepuka kukamatwa mara kwa mara.

Asanteni
Sema wewe umekamatwa na mkeo acha kujiongezea Zambi ya kumtaja rafiki yako
 
Wakuu kwema?

Kuna jamaa yangu yeye kaoa lakini haipiti mwezi kakamatwa na mkewe kuwa anacheat, so kaniomba mbinu za namna ya kuepuka kukamatwa mara kwa mara.

Asanteni
huyo jamaa yako alilazimishwa kuoa? Njia rahisi amfukuze mkewe aoe huo mchepuko
 
Mchepuko always ufanye ujione wwnyewe ni wa ziada tu..

Then kuwa smart katika kutafuta michepuko..
Tafutaunaojielewa na ulio katika mahusiano strong na mtu mwingine ili na wenyewe kuna muda uepuke mawasiliano na wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye huu uzi kila mwanaume mwaminifu. Na hii ni sababu na wewe umeanza na uongo wa “jamaa yangu”

Ngoja nikusaidie mdogoangu

Mbinu kuu ni katika uchaguzi wa mchepuko. Chagua mchepuko mwenye cha kupoteza endapo itajulikana yuko na wewe. Yani na yeye awe na msukumo wa kuweka mahusiano yenu siri.

Halafu awe wa mbali lakini isiwe sehemu ambayo huwezi tolea explanation. Yani unakuwa na mchepuko Gongo la Mboto siku unakutana na shemeji yako huko ukija kuulizwa huna cha kujibu ulifuata nini

Pia uwe unajitahidi kutomponda mkeo kwa mchepuko. Usiweke wazi madhaifu yake tena ikibidi kiaina unamsifia kwa mbali ili daima ajue yeye wa chini zaidi ya mkeo

Tatu penzi la kuiba sio la kukolea unajikuta Shahrukh Khan. Simu simu za kila dakika achana nazo. Ukiwa naye enjoy naye sana na MPE HELA! Sio umpe zaidi ya uwezo familia iteseke ila mpe hela. Ukiwa busy na familia yako yeye yuko busy kutumia hela
Hata ufanye yote haya; na mengineyo...tena uchanganye na mbinu za kijasusi kuna siku utakuwa complacent na utashikwa tu....
 
Kwenye huu uzi kila mwanaume mwaminifu. Na hii ni sababu na wewe umeanza na uongo wa “jamaa yangu”

Ngoja nikusaidie mdogoangu

Mbinu kuu ni katika uchaguzi wa mchepuko. Chagua mchepuko mwenye cha kupoteza endapo itajulikana yuko na wewe. Yani na yeye awe na msukumo wa kuweka mahusiano yenu siri.

Halafu awe wa mbali lakini isiwe sehemu ambayo huwezi tolea explanation. Yani unakuwa na mchepuko Gongo la Mboto siku unakutana na shemeji yako huko ukija kuulizwa huna cha kujibu ulifuata nini

Pia uwe unajitahidi kutomponda mkeo kwa mchepuko. Usiweke wazi madhaifu yake tena ikibidi kiaina unamsifia kwa mbali ili daima ajue yeye wa chini zaidi ya mkeo

Tatu penzi la kuiba sio la kukolea unajikuta Shahrukh Khan. Simu simu za kila dakika achana nazo. Ukiwa naye enjoy naye sana na MPE HELA! Sio umpe zaidi ya uwezo familia iteseke ila mpe hela. Ukiwa busy na familia yako yeye yuko busy kutumia hela

Khhhaaaa...! Hivi tutaoa kweli kwa staili hizi!
 
Back
Top Bottom