dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,331
- 1,373
Nakazia hapa, yaani ukitaka kuchepuka na uwe nae wa kudumu Basi tafuta Mke wa mtu au single mama mmoja tulia hapo lakini Kama unataka Hawa namba D lazima utakamatwa.huyo mshauri atumie strategy hii, yeye awe anapiga zile tunaita hit and run. yaani kama umeenda zako huko mkoa mwengine ndio unapiga au kama vipi mbona warembo wakupiga one time wapo wengi tuu kwenye mitandao.
ukishaanza full blow affair lazima ukamatwe tuu maana pattern itabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app